Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
=9+?=9🤣
9
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
=9+?=9🤣
9
ThibitishaKwenye suala la uumbaji hesabu hazihepukiki.
Jiulize kwa nini kila baada ya miaka minne mwaka unakuwa na siku 366.
Jiulize kwa nini siku ina masaa 24.
Jiulize kwa nini binadamu aliumbwa siku ya 6.
Jiulize kwanini 6 na 9 zina ufanano.
Ukweli ni kwamba namba hazijabuniwa bali ziligunduliwa, hivyo kuna code nyingi sana zenye maana zimefichwa kwenye namba.
hata kwann kila baada ya miaka minne mwaka una siku 366 nayo mnataka kusema ni freemason ,😂😂😂😂😂 niny wazee achen kamba za kitoto, someni na mjifunze vitu banaKwenye suala la uumbaji hesabu hazihepukiki.
Jiulize kwa nini kila baada ya miaka minne mwaka unakuwa na siku 366.
Jiulize kwa nini siku ina masaa 24.
Jiulize kwa nini binadamu aliumbwa siku ya 6.
Jiulize kwanini 6 na 9 zina ufanano.
Ukweli ni kwamba namba hazijabuniwa bali ziligunduliwa, hivyo kuna code nyingi sana zenye maana zimefichwa kwenye namba.
Sawa. Tufanye iko hivyo. Japo am sure ukitaka tuje upande huo, mimi na wewe ni mbingu na ardhi.Bila shaka wewe ni zao la BRN.
Yani kilaza pro max
Ndio maana nikakwambia wewe ni kilaza pro max.Sawa. Tufanye iko hivyo. Japo am sure ukitaka tuje upande huo, mimi na wewe ni mbingu na ardhi.
Haya jibu hilo swali
Kama
2x9=18=1+9=9
Weka huu mlinganyo ukawe sawa like above
9x1=9.
Usinilete stori za 0 hapo maana haiko hapo!.
Sijaona maana ya kuni quote. Umeongeza maneno yako na hao freemason wako.hata kwann kila baada ya miaka minne mwaka una siku 366 nayo mnataka kusema ni freemason ,😂😂😂😂😂 niny wazee achen kamba za kitoto, someni na mjifunze vitu bana
MImi na wewe hatuwezan chief. Akil hunaNdio maana nikakwambia wewe ni kilaza pro max.
Inaonekana ulikuwa una differentiate constant (kuzungusha ) sana kwenye maths.
Ukiandika 9×1=9 , ni sawa na yule anayeandika 9+0 maana kote jibu lake ni Tisa , ni sawa pia na yule anayeandika 3^2, ni sawa pia na (3×3) kote jibu litakupa Tisa. Ni sawa na yule anayeandika 900/100 kote jibu litakupa Tisa.
Sasa wewe ngedere una akili gani ,kama hesabu nyepesi hiyo unakaza fuvu?MImi na wewe hatuwezan chief. Akil huna
Sawa.lets agree on disagreementSasa wewe ngedere una akili gani ,kama hesabu nyepesi hiyo unakaza fuvu?
Mi Nataka nikae nawe milele smart!
Mtoto ambaye hana complications zozote anakaa tumboni wiki 40.mwezi wa ramadhani huwa unafunga siku 30, baada ya hapo kuna kufunga siku 6 za hiari.
30 + 6 = 36. hizo ni wiki ambazo ambazo mtoto anakaa tumboni, kila wiki ina kazi yake.
natamani sana niendelee lakini hilo zogo litakalozuka humu ndani mpaka naogopa. ombeni sana mungu awafunulie.
sipendi kubishana katika mambo kama haya. mana utabishana na mtu hana moja wala kumi na moja.
Nyinyi mlipigana kibuti na mpaka jina ulibadili , umerudisha jina lako la awali mnatusumbua tena.Mi Nataka nikae nawe milele smart!
Kwa hekaheka anazooitia mama mjamzito naule uchungu mambo za kuleaa🙌🙌🙌🙌!
Hakuna Kama mama love
Mnajaa kirahis sana kwenye uzushi wa watu walijitungia wakaacha muhangaike nao.mwezi wa ramadhani huwa unafunga siku 30, baada ya hapo kuna kufunga siku 6 za hiari.
4 inamana ya change of steps(death & rebirth)Thibitisha
Hii inasaidia nini ?360÷2=180=1+8+0=9
180÷2=90=9+0=9
90÷2=45=4+5=9
45÷2=22.5=2+2+5=9
22.5÷2=11.25=1+1+2+5=9
11.25÷2=5.625=5+6+2+5=18=1+8=9
5.625÷2=2.8125=2+8+1+2+5=18=1+8=9.
9 ndio namba ya ukuu namba zote uzijuazo ziko ndani ya 9.