Kuna siri gani katika namba 9? Kwanini mtoto akae tumboni miezi 9?

Kutoa, kuzidisha, kugawanya nazo ni arithmetic operations.

Kwa nini unajumlisha, hutoi, hugawanyi, huzidishi?
 
Kutoa, kuzidisha, kugawanya nazo ni arithmetic operations.

Kwa nini unajumlisha, hutoi, hugawanyi, huzidishi?
KWa sababu its Focusing on Reducing the number into single Digit for Futher interpreration..
so Huwezi kureduce number kwa Kutoa au kugawanya into single digits..
Na hiyo ni formula yake tu..
Ni kama kuuliza kwanini 1+1 ni 2 What made it to be 2 and not otherwise
 
Acha upotoshaji "devoted scientist"

Pia kingine, kwanini unatumia hizo imoji unajichekesha hovyo?

Hauoni upo na shida?
 
Una nambari mbili . 8 na 1.

Unajumlisha 8 na 1 upate 9.

Ukiulizwa sababu, kwa nini umejumlisha hapa? Unasema unataka ku reduce number iwe single digit.

Kwani ukifanya 8 - 1 hupati 7 ambayo ni single digit pia? Huoni kwamba unavyojumlisha 8 + 1 ndivyo unavyokaribia double digits zaidi?

Si useme tu unalazimisha jibu liwe 9? 🀣🀣🀣
 
Acha upotoshaji "devoted scientist"

Pia kingine, kwanini unatumia hizo imoji unajichekesha hovyo?

Hauoni upo na shida?
Sasa mbona Umekosa Hoja umeanza kufanya Character assasination,What a shame!.

Jitahidi kujua kujibu Hoja hata kama inakukera..
 
Sasa vipi namba ikiwa 110 na 9
 
Sasa mbona Umekosa Hoja umeanza kufanya Character assasination,What a shame!.

Jitahidi kujua kujibu Hoja hata kama inakukera..
Nimekuuliza unajichekesha nini?

Au huoni emojis nyingi umeweka za kujichekesha?

Wewe unaogopa kuulizwa unajichekesha nini?
 
Nimekuuliza unajichekesha nini?

Au huoni emojis nyingi umeweka za kujichekesha?

Wewe unaogopa kuulizwa unajichekesha nini?
Mkuu with all due Respects
Huwa Sijibishani na watoto kwa Maswala ya kijinga na kipumbavu kukujibu tu nahisi nimejikaza sana..

Maana huwa sijibu wapumbavu kabisa
 
Mkuu with all due Respects
Huwa Sijibishani na watoto kwa Maswala ya kijinga na kipumbavu kukujibu tu nahisi nimejikaza sana..

Maana huwa sijibu wapumbavu kabisa
Soma vizuri sentensi nilizoandika.

Hizo sentensi hazikutakiwa kukuadhiri kwa lolote Mr Numerologists.

Unaona sasa kumbe si tu unaamini kwamba namba zina nguvu lakini pia unaadhiriwa na maneno ambayo yamelenga kuuliza swali tu.

Upo emotional sana na hiyo ndiyo JIBU kwanini unaamini pseudoscience.

Kwasababu inakupatia faraja fake.

Ungeweza kujibu.

Kwa mfano, ninacheka kwasababu ninashangaa jinsi inavyotoa utetezi katika mda iliyo mezani.

Sawa kitu kimoja nakubali. Pole kwa maneno yangu kama kwa namna moja au nyingine yamekukera.
 
🀣Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…