nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Tafadhali mkuu, kwanini ukikiuka hii kanuni unachezea za uso?Ukiwa na Jambo lako kaa kimya usitangazetangaze sana hakikisha haueleweki
Ndo ivyoAisee hebu ngoja,hata Mimi nimeiona hii!
Wee!Wabongo wachawi.
On howNi saikolojia tu
Pole ndo ivyo mkuuHii kweli aisee, zaidi ya mara moja.
Hio ndio ilivyo maana yake wewe huwezi kujisaliti mwenyewe ila mtu mwingine kukusaliti na kuvujisha data zako ni suala la kugusa tu sasa zikimfikia mbaya wako ndio hivyo na usichojua kumpa mtu taarifa zako ni sawa na kuwasha kiberi nyikani pori zima litaunguaTafadhali mkuu, kwanini ukikiuka hii kanuni unachezea za uso?
Monitoring spirit waits to hear the word of confession to know your heart or next plan to manipulate/block your helpers not to reach your destiny,nimeikopi mahali.Nimesikia ama kuchunguza kua mara nyingi ukiropoka kwa watu mipango yako inaanza kusua sua na hatimae Kufeli mazima. Tafadhali wabobezi wa masuala ya kiroho naomba hapa ufafanuzi.
Kuna mstari fulan katika biblia kua "usimwage lulu kwenye nguruwe wasije wakazikanyaga na kukurarua" je huenda kukawa na uhusiano hapa? Karibuni.
Ila wakuu haya mambo haya duhHio ndio ilivyo maana yake wewe huwezi kujisaliti mwenyewe ila mtu mwingine kukusaliti na kuvujisha data zako ni suala la kugusa tu sasa zikimfikia mbaya wako ndio hivyo na usichojua kumpa mtu taarifa zako ni sawa na kuwasha kiberi nyikani pori zima litaungua
Hahaha dadeki walaiMonitoring spirit waits to hear the word of confession to know your heart or next plan to manipulate/block your helpers not to reach your destiny,nimeikopi mahali.
Duh ila kweliMungu mwenyewe mipango yake ni ya siri. Bro mtu pekee wa kumueleza mipango ni Mungu. Yeye ndie pekee anakutakia mema. Na ndie atakusaidia ukipitia magumu