watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,663
Sawa introvertKwaza kabisa Intorverts wana tabia zao za kipekee, wasichanganywe na wakimya au wapole, hayo ni makundi mengine.
Introvert anafurahi zaidi akiwa peke yake ila anaweza kujimix.
Introvert hapendi sana kujulikana, n.k. anaweza kuwa tajiri ila anavaa simple, simu ya kawaida, n.k.
Introvert anaeza kuwa na subwoofer ndani ila anatumia ear phones
Introverts hupenda sana kujifunza kitu flani bila kuchoka au kufikiria sana jambo flani (wagunduzi na watundu wengi wa compuyers ni intorverts)
Na ni nani kakwambia intorverts hawawezi kunetwork ?Kuwa introvert sio sifa mkuu.
A lot of extrovert guys are succesful coz they share and network
Upo sahihi kabisa mkongwe.Kuwa introvert sio sifa mkuu.
Wengine wanajifanyishaUpo sahihi kabisa mkongwe.
Naichukia sana hii hali, ni vile tu siwezi kubadilisha who I am.
Nenda hospitalini ukapimwe usonji / autismKuwa Introvert ni ulemavu.
I'm an Introvert, and I hate it aisee!
SwadaktaNenda hospitalini ukapimwe usonji / autism
watu wengi hapa bongo wana hili tatizo bila kujua wanajiona introverts
Introvert hupenda kukaa peke yake sio kwasbabu hawezi kujimix bali hufurahi zaidi na kujihisi amani, Mtu mwenye autism hujiepusha kwa sababu ya uwezo mdogo wa kujimix, hana vya kuchangia, kutokuelewa ishara za kijamii, aibu, hofu, n.k.
kwenye utulivu au Kuonekana Mpole wote wawili huweza kuonekana kimya, lakini introvert ni kwa hiari, autism mara nyingi ni kwa sababu ya uwezo mdogo wa kujihandle kijamii na hofu.
Mental problemNina mwanaume wa hivyo yaani ana marafiki wawili tu mda mwingi yupo mwenyewe, msibani anajitenga harusini huwa haendi kabisa kwa kweli simuelewi elewi mimi, soon namkimbia
Yah mkuu, h kitu inanitesa sana, nmekosa vingi mno kutokana na Mm kuwa introvertKuwa Introvert ni ulemavu.
I'm an Introvert, and I hate it aisee!