Kuna siri gani ya Introverts wengi kutokea Blood Group O

Kuna siri gani ya Introverts wengi kutokea Blood Group O

This lil guy would sit alone for hours man , Even on a whole day yupo peke yake .. Alikuwa akiishi town .. at very early age He could hold a conversation with An adult a meaningful one .. alikuwa akiishi wazazi wake .. his father know him much .. na alijitahidi not to invade his privacy and some sort .. He was super smart , Quiet but not aloof .. know when to talk and not ..

His father died , Akaenda kuishi na Bibi yake .. Ni Huko Milimani.. oya He was wonderful.. Introvert +Nature= Solitude, Tranquility..

He didn't like school , He was homeschooled , there was great potential in him , still there is .. Kuwa tofauti na wengine kukamfanya awe Ridiculed, Hated , ostracized .. He became Friends with Nature and Books(Knowledge) Akaishia f4 .. ..

Last time I checked him Kuna project Tulikuwa tunafanya .. Mshkaji alitufanyia Data analytics as if ni pro na akawa anatupa leads .. man man man .. Hakuna maamuzi tuliyoyafanya bila kurely on him ..later akapotea Tena . He is Turning 27 Soon na sijui Yuko wapi ...

If I am to work with someone I'd rather work with him for the rest of my life ila he's too complicated ... With his introversion thing /personality...

Najua upo humu na huu Uzi unaupitia Kindly contact me man...
 
Kwanza kabisa Intorverts wana tabia zao za kipekee, wasichanganywe na wakimya au wapole, hayo ni makundi mengine.

Introvert anafurahi zaidi akiwa peke yake ila haimaanishi hawezi kujimix.

Introvert hapendi sana kujulikana, n.k. anaweza kuwa tajiri ila anavaa simple, simu ya kawaida, n.k.

Introvert anaeza kuwa na subwoofer ndani ila anatumia ear phones

Introverts hupenda sana kujifunza kitu flani bila kuchoka au kufikiria sana jambo flani (wagunduzi na watundu wengi wa compuyers ni intorverts)
uhusiano wa blood group O na introvet sijauona...!
 
Nenda hospitalini ukapimwe usonji / autism

watu wengi hapa bongo wana hili tatizo bila kujua wanajiona introverts

Introvert anaweza kuwasiliana na wengine inapobidi lakini hupendelea kuwa peke yake, Mtu mwenye autism hata inapomvidi anapata ugumu, hujiepusha kukaa na watu kwa sababu ya uwezo mdogo wa kuinteract na watu, hana vya kuchangia, kutokuelewa ishara za kijamii, hofu, aibu, n.k.

kwenye kuonekana Mpole wote wawili huweza kuonekana kimya, lakini introvert ni kwa hiari tu, autism ni kwa sababu ya uwezo mdogo wa kuwasiliana (poor conbersation skills), uoga, kutojiamini n.k.
Mpaka leo nimeshindwa kuelewa exactly character ya introvert inakuaje. Sifa nyingi najiona kama ninazo vile lakini sijioni kama ni introvert mfano suala la kuchangamana na watu kwa upande wangu hakuna shida ingawa sina story nyingi naongea mara chache pale inapobidi.

Kwenye sekta ya mahusiano kwanza siwezi kabisa kuwa na girlfriends wawili kwa wakati mmoja, pia nikiachana na demu inachukua muda mrefu kupata replacement. Not because of undesirable by women but because of too much selective. One lie, inconsistency or manipulation i walk away without hesitating or explanation.

Kwenye suala la upole wengi wananiambia ni mpole sana. Kuna mademu huwa wanajilengesha wakijua naingilika kirahisi kwa sababu ya hiyo sifa ya upole. Wakija kujua boundaries na standards zangu ndio wanapigwa na butwaa kwa kushangaa ni mtu tofauti na walivyokua wananidhania

Mziki huwa nasikiliza wasanii wangu specific kabisa. Wasanii wa marekani napenda mziki wa Michael Jackson, R. Kelly, Jay z na natorius big. Siwezi kusikiliza mziki mwingine wowote kutoka kwa msanii mwingine zaidi ya hao na nikaufurahia.
 
Back
Top Bottom