Kuna siri gani ya Introverts wengi kutokea Blood Group O

Kuna siri gani ya Introverts wengi kutokea Blood Group O

Nenda hospitalini ukapimwe usonji / autism

watu wengi hapa bongo wana hili tatizo bila kujua wanajiona introverts

Introvert anaweza kuwasiliana na wengine inapobidi lakini hupendelea kuwa peke yake, Mtu mwenye autism hata inapomvidi anapata ugumu, hujiepusha kukaa na watu kwa sababu ya uwezo mdogo wa kuinteract na watu, hana vya kuchangia, kutokuelewa ishara za kijamii, hofu, aibu, n.k.

kwenye kuonekana Mpole wote wawili huweza kuonekana kimya, lakini introvert ni kwa hiari tu, autism ni kwa sababu ya uwezo mdogo wa kuwasiliana (poor conbersation skills), uoga, kutojiamini n.k.
Bora umemfafanulia vizuri. Wengine hawajui kuwa hata WARREN BUFFETT, BILL GATES, BARACK OBAMA, ELON MUSK pia ni INTROVERT.
 
Kuwa Introvert sio sifa mkongwe, najua nini maana ya usonji, nimeishi na watu wenye usonji hivyo usonji sio habari mpya kwangu.
Kila kitu kina faida na hasara zake, kuwa Introvert kunaweza kukuletea hasara kubwa kuliko faida.
Tangu lini uintrovert umegeuka ugonjwa? Hizi taarifa mmezitoa wapi? Mbona google imerahisisha upatikanaji wa habari lakini?
 
Mkuu nahisi una usonji, kwa bahati mbaya Tanzania tatizo hili bado lina awareness ndogo, watu wengi wenye usonji hudhani ni introverts

Ukiwa na usonji unaweza kukosea kujiita introvert, kwa sababu wote wawili mnaweza kukwepa sherehe. Lakini mtu mwenye usonji anaweza kuchukia sherehe kwa sababu ni zenye kelele, hazitabiriki, na zimejaa watu, ilhali introvert anaweza kuchukia sherehe kwa sababu angependelea kuwa nyumbani peke yake.
Sahihi kabisa!
 
Introvert Yuko busy mitandaoni 24/7 unachat mpaka unakua mwendawazim halaf unajiita introvert Hawa watu hawaitaj internet wao Wana hobbies zingine ambazo hazichangaman na watu Kwa namna yoyote vile
 
Screenshot_2025-05-23-14-14-53-18_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

You can make it bigger!
 
Introvert Yuko busy mitandaoni 24/7 unachat mpaka unakua mwendawazim halaf unajiita introvert Hawa watu hawaitaj internet wao Wana hobbies zingine ambazo hazichangaman na watu Kwa namna yoyote vile
Usichokijua ni kwamba introverts ndio watu wako busy sana mtandaoni. Kuchat, kuperuzi na ujinga mwingine unaoweza kufanyika mtandaoni, introverts ndio vinara.
Kwanini? Mtandaoni ndio sehemu pekee wanakuwa comfortable.

Introverts wana hobbies zingine!?
Sio kweli, introverts wana hobbies zinazofanana na binadamu wengine. Ila vile tu wanapenda kufanya hizo hobbies wakiwa peke yao, because they are not comfortable around people.
 
Kila mtu na jinsi alivyoumbwa ndio maana kuna waongeaji na kuna wakimya watu wote wangefanana tabia dunia isingekuwa sehemu salama.Pia introverts wengi wanaongoza kwaa ugunduzi sababu muda mwingi wanatumia peke yao kufikiri,introverts ndio asilimia kubwa ya wanaochart mtandaoni sababu ndipo wanakuwa comfortable kuongea kuliko mbele za watu.Introvent wanajiepusha na shida nyingi kwa kuwa selective sana na watu wa kudeal nao
 
Usisahau hii!!!
SERIAL KILLERS wengi ni introverts!
 
Uwepo wako unaweza kuwa kero pia, onekana inapobidi ila sio muda wote kama hewa.
Kuna WATU na watu, WATU wanahitaji uwepo wako kama hewa.

Hivi unajua kama introverts ni bullies magnet!?
Ukiwa na mtoto introvert inabidi umfuatilie kwa makini sana.
 
Mostly ya wanasayansi wakubwa dunia (Genius) ni Introvent na hamna uhusiano wowote wa Usonji na Introvent. Sio hivyo asilimia sabini ya Gifted people ni Introvent.

Dah bora umemuelewesha
Maana kila mtu akisema yeye ni Introvert anamwambia una usonji. Yani ni kama inawauma watu kuwa Introverts
Anapaswa aelewe sisi kama binadamu kamwe hatuwezi fanana
 
Back
Top Bottom