Duh Aisee
JF-Expert Member
- Jul 28, 2025
- 1,297
- 860
Inasikitisha sanaYah mkuu, h kitu inanitesa sana, nmekosa vingi mno kutokana na Mm kuwa introvert
Inasikitisha sanaYah mkuu, h kitu inanitesa sana, nmekosa vingi mno kutokana na Mm kuwa introvert
Sasa si bora wewe anarafiki mie nipo kwenye 30+ now lakini sina rafiki napokaa hakuna rafiki wala ndug yang anayepajua mke wangu mwenyewe akiongea sana naondoka zangu,ukipiga simu zaid ya dakika 1 huna cha maana naikata ukipiga sana naizima au nakublock mazimaNina mwanaume wa hivyo yaani ana marafiki wawili tu mda mwingi yupo mwenyewe, msibani anajitenga harusini huwa haendi kabisa kwa kweli simuelewi elewi mimi, soon namkimbia
Sasa hizi ni dharau sio u-introvert pekeeSasa si bora wewe anarafiki mie nipo kwenye 30+ now lakini sina rafiki napokaa hakuna rafiki wala ndug yang anayepajua mke wangu mwenyewe akiongea sana naondoka zangu,ukipiga simu zaid ya dakika 1 huna cha maana naikata ukipiga sana naizima au nakublock mazima
Kuwa introvert sio naturalMimi naamini asilimia tisini ya watz hawajui maana ya introvert.
Na hata hawa wanao-comment
humu kusema wao ni introvert wengi wao wanaigiza tu kuwa hivyo lakin naturally siyo introvert ..
Na hili nilijihakikishia juzi hapa nilipo pita kwenye uzi mmoja .. nikaona jamaa mmoja kasema yeye ni introvert hali inayopelekea apate shida kupanda daladala 🤣🤣🤣🤣
Nikabaki najiuliza inahusiana vipi kuwa introvert na kupanda daladala ?? .. Nikahitimisha kwa kusema tu watz kwa kuigiza ..
Kuna wengine ndiyo walixaliwa hivyoKuwa introvert sio natural
Kuna mambo yanapelekea mtu kuwa introvert
NyumbuNi ngumu kumkuta introverts kwenye makundi waswahili wanaompigia debe chura kiziwi
Wewe huelewi maana ya IntrovertKuna wengine ndiyo walixaliwa hivyo
Mfano michaelangelo yeye toka kuzaliwa kwake alikuwa hivyo
Ukiona mtu anakwambia sijui mazingira ndiyo yalimgeuza yeye kuwa introvert huyo asilimia 80 anaigiza . Huku ndyo watz wengi walipo
Mbona kama namimi nina hizi tabia zote, nlikuwa sijijui kuwa ndo naaitwa intorovatiKwanza kabisa Intorverts wana tabia zao za kipekee, wasichanganywe na wakimya au wapole, hayo ni makundi mengine.
Introvert anafurahi zaidi akiwa peke yake ila haimaanishi hawezi kujimix.
Introvert hapendi sana kujulikana, n.k. anaweza kuwa tajiri ila anavaa simple, simu ya kawaida, n.k.
Introvert anaeza kuwa na subwoofer ndani ila anatumia ear phones
Introverts hupenda sana kujifunza kitu flani bila kuchoka au kufikiria sana jambo flani (wagunduzi na watundu wengi wa compuyers ni intorverts)
Kila mtu aamini anavyoaaminiWewe huelewi maana ya Introvert
Wewe sio introvert, wewe una depression😀Kuwa Introvert ni ulemavu.
I'm an Introvert, and I hate it aisee!
Hebu tupe hasara!Kuwa Introvert sio sifa mkongwe, najua nini maana ya usonji, nimeishi na watu wenye usonji hivyo usonji sio habari mpya kwangu.
Kila kitu kina faida na hasara zake, kuwa Introvert kunaweza kukuletea hasara kubwa kuliko faida.
Mlikuwa mnashida nyingine kwenye makuzi yenu.Introverts wazalendo watakuambia ukapime usonji.
Hatari sana, mimi kipindi bado bwana mdogo sana, nilikuwa proud sana na hii hali, nilikuwa najiona niko sawa sana.
Ila umri unavyozidi kusogea ndio macho yanafunguka na kuanza kutambua kuwa WE Introverts are the worse version of human beings.
Hahaha,Nina mwanaume wa hivyo yaani ana marafiki wawili tu mda mwingi yupo mwenyewe, msibani anajitenga harusini huwa haendi kabisa kwa kweli simuelewi elewi mimi, soon namkimbia
Anakunyanyasa?Nina mwanaume wa hivyo yaani ana marafiki wawili tu mda mwingi yupo mwenyewe, msibani anajitenga harusini huwa haendi kabisa kwa kweli simuelewi elewi mimi, soon namkimbia
Okay!Wewe sio introvert, wewe una depression😀
7 disadvantages of being an introvertHebu tupe hasara!
Okay!!!Mlikuwa mnashida nyingine kwenye makuzi yenu.
Na mimi najilaumu sana kuwa introvertKuwa Introvert ni ulemavu.
I'm an Introvert, and I hate it aisee!
Amini usiamini, hamkulelewa vizuri.