Nenda hospitalini ukapimwe usonji / autism
watu wengi hapa bongo wana hili tatizo bila kujua wanajiona introverts
Introvert hupenda kukaa peke yake sio kwasbabu hawezi kujimix bali hufurahi zaidi na kujihisi amani, Mtu mwenye autism hujiepusha kwa sababu ya uwezo mdogo wa kujimix, hana vya kuchangia, kutokuelewa ishara za kijamii, hofu, n.k.
kwenye utulivu au Kuonekana Mpole wote wawili huweza kuonekana kimya, lakini introvert ni kwa hiari, autism ni kwa sababu ya uwezo mdogo wa kuwasiliana (poor conbersation skills), hofu, n.k.