Kuna siri gani ya Introverts wengi kutokea Blood Group O

Kuna siri gani ya Introverts wengi kutokea Blood Group O

Kwahiyo hapa jukwaani asilimia kubwa nyie ni maintrovert, sio?

Naweza kupata picha sasa nikirelate na wale wa kwenye jukwaa lile la siasa...😅😅.

Mnaandika huku mkiwa mmejifungia zenu ndani tu...
 
Fursa za kazi Mkuu. Nimefanya kwenye mashirika binafsi na ma foreigners kibao.

But siezi present au kufanya kitu nikaonekana wakati WA meetings.
Nimefanya internship/field wizara ya maendeleo ya jamii , jinsia na watoto nikaenda kwenye warsha/semina kibao na Mwabukusi wakati ni legal officer pale enzi ya Mama sitta ila nikifika kwa kikao jamaa anakazana rr4 changia so and so, nazubaa TU.

Watu wakiwa kwenye kikao wapo busy Mimi nawaza maisha labda ya gaza yakoje. Kiakili na kiroho najikuta Niko mitaa ya Gaza strip napiga story na watu na kadhalika.

Of course ninapendwa sana na mabinti na mabosi sababu ya utulivu.

Ila pia nachukiwa sana Kila mahali na watu wasionijua maana wanasema Nina dharau.

Chuo Kuna Mzee mmoja alituzidi sana umri 50 huko aliwahi kuniweka kikao akaniambia kijana punguza dharau utakosa fursa. Hakujua ni introvert.

So it's a burden. Nikwambie kabisa ningekuwa mchangamfu ungekuta Niko Norway since 2004 Fursat ilikuwepo na wadhamini walikuwepo ila waliniona mkimya sana.

But nimejikubali hivyo hivyo.

Kwa wazee wa kuunga dot, hawaezi jua Mimi ni nani as hapo wizarani sikuwa official japo nilikuwa napata ile posho Yao ya nadhani sijui 140,000 kwa mwezi sikumbuki. Ila niliingia mlango wa nyuma nikatokea huko huko.
Mkuu una Changamoto za kisaikolojia Kama Anxiety n.k na sio introvert.

Introvert wanaongea vizuri tu hawana uwoga na huwa wanajichanganya pale inapobidi .

Sioni muungano wa changamoto zako na kuwa introvert.
 
Mkuu una Changamoto za kisaikolojia Kama Anxiety n.k na sio introvert.

Introvert wanaongea vizuri tu hawana uwoga na huwa wanajichanganya pale inapobidi .

Sioni muungano wa changamoto zako na kuwa introvert.
Upo sahihi mkuu... Nadhani watu wanachanganya haya mambo
 
Unakua introverts halafu huna akili n sawa na kutembea huku umekufa
Sikutaka kuzungumzia upande huu.
Au unakuwa introvert halafu unatokea familia masikini, shule hauna, you are an introvert hivyo hata connections hauna...madafaka, you are doomed!!!
 
Watu wakiwa kwenye kikao wapo busy Mimi nawaza maisha labda ya gaza yakoje. Kiakili na kiroho najikuta Niko mitaa ya Gaza strip napiga story na watu na kadhalika.
Mkongwe, wewe ulitakuwa kuwa budha kwenye matempo China huko.
Hapa Bongo bahati mbaya tu.
😂😂😂
Huwa unafanya meditation mkongwe!?
 
Mimi nimekosa Fursa nyingi sana kuwa introvert.
Najuta sana.
But I have to embrace it. Na watoto wangu mmoja naona kabisa amefuata. Hataki kuchanganyika kabisa.
Acha kujiAttach na hizi identity ulizokutana nazo ukubwani na kuanza kujitambulisha nazo, zinakufanya uwe dhaifu, usijikubali, ujione una matatizo.

Fanya kinyume na hizo taarifa ulizopokea, changamka.
 
Back
Top Bottom