Kuna siri gani ya Introverts wengi kutokea Blood Group O

Kuna siri gani ya Introverts wengi kutokea Blood Group O

Pure introvert ni Sagittarius makundi nyota mengine ndio wanafata.
Sifa ya introvert Moja wapo niukimya na hekima kubwa sana.
Introvert wachache sana wenye kupokea sifa na tuzo mbali mbali kutoka kwa jamii.
Amini kwamba kila alipo mtu maarufu sana nyuma yake Kuna introvert huwezi jua.
Siri na Siri mzito zipo mioyoni mwa introvert.
Hii ndio point ya msingi zaidi
 
Yah mkuu, h kitu inanitesa sana, nmekosa vingi mno kutokana na Mm kuwa introvert
Introverts wazalendo watakuambia ukapime usonji.
Hatari sana, mimi kipindi bado bwana mdogo sana, nilikuwa proud sana na hii hali, nilikuwa najiona niko sawa sana.
Ila umri unavyozidi kusogea ndio macho yanafunguka na kuanza kutambua kuwa WE Introverts are the worse version of human beings.
 
Wengine wanadhania ni sifa.

Its a burden and a blessing too
Burden kwasababu Mimi mtu akinikuta mahali akaniongelesha zaidi ya dakika Tano hasira zinaanza kupanda.
Hasira zinapanda mpaka nasikia kiungulia. Akiondoka nafurahi sana.
Sitaki mazoea, sisalimii au kumsemesha MTU kama hamna ulazima.
It's a burden but I can not go back. Too late.
 
Burden kwasababu Mimi mtu akinikuta mahali akaniongelesha zaidi ya dakika Tano hasira zinaanza kupanda.
Hasira zinapanda mpaka nasikia kiungulia. Akiondoka nafurahi sana.
Sitaki mazoea, sisalimii au kumsemesha MTU kama hamna ulazima.
It's a burden but I can not go back. Too late.
View attachment 3342951
Yeah you should embrace it

Tuko pamoja hata mimi niko hivyo mkuu.

I only enjoy chatting online ila physical i feel heavy around people
 
Kwanza kabisa Intorverts wana tabia zao za kipekee, wasichanganywe na wakimya au wapole, hayo ni makundi mengine.

Introvert anafurahi zaidi akiwa peke yake ila haimaanishi hawezi kujimix.

Introvert hapendi sana kujulikana, n.k. anaweza kuwa tajiri ila anavaa simple, simu ya kawaida, n.k.

Introvert anaeza kuwa na subwoofer ndani ila anatumia ear phones

Introverts hupenda sana kujifunza kitu flani bila kuchoka au kufikiria sana jambo flani (wagunduzi na watundu wengi wa compuyers ni intorverts)
Scientificaly na current statistics, introvents wengi wako group A and AB . Sababu ya shyness nature sometimes wanaweza kuwa outgoi no or not
 
Mkuu nahisi una usonji, kwa bahati mbaya Tanzania tatizo hili bado lina awareness ndogo, watu wengi wenye usonji hudhani ni introverts

Ukiwa na usonji unaweza kukosea kujiita introvert, kwa sababu wote wawili mnaweza kukwepa sherehe. Lakini mtu mwenye usonji anaweza kuchukia sherehe kwa sababu ni zenye kelele, hazitabiriki, na zimejaa watu, ilhali introvert anaweza kuchukia sherehe kwa sababu angependelea kuwa nyumbani peke yake.
Mtu mwenye usonji anaweza kuwa introvert au Extrovert ,usonji ni hali ya kiafya na introvert ni hali ya kiasili tu.
 
Sipendi makundi lakini huwa ninachangamkag sa sana kwenye mitandao...hakuna kitu sipendi kama kukaa na watu haswa wanawake
 
Introverts wazalendo watakuambia ukapime usonji.
Hatari sana, mimi kipindi bado bwana mdogo sana, nilikuwa proud sana na hii hali, nilikuwa najiona niko sawa sana.
Ila umri unavyozidi kusogea ndio macho yanafunguka na kuanza kutambua kuwa WE Introverts are the worse version of human beings.
Mostly ya wanasayansi wakubwa dunia (Genius) ni Introvent na hamna uhusiano wowote wa Usonji na Introvent. Sio hivyo asilimia sabini ya Gifted people ni Introvent.

 
Ni ngumu kumkuta introverts kwenye makundi waswahili wanaompigia debe chura kiziwi
Kwa maelezo ya mleta mada, seems wale wapiga shoo kwenye vigodoro haiwezekani pakawa na introvert hata mmoja?

If yes, does it mean wale hakuna hata mmoja mwenye group O? Rather, A, B, and AB? More researches are required to confirm this.
 
Pure introvert sio hali yakuwashangaza watu kuhusu wewe.
Bali ni hali yakuwatambua wengine kiundani sana kuliko wao wanavyo kutambua wewe.
Hivyo hupati tabu kuishi nakila jamii yawatu.
Ikiwa kinyume na hivyo nimatatizo binafsi ya mtu.
Mental problem.
Naona mmeanza kuja na definition zenu binafsi za introvert.
Yaani introvert huyuhuyu ninayemjua mimi asipate tabu kuishi na kila jamii ya watu!?

Screenshot_2025-05-23-14-14-53-18_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Back
Top Bottom