Welcome to my world babeTell us more..
Ma lucky no is 3!
Yes 6 is the 3rd eye chakraMshana Jr hii elimu naomba nikupe uweze kuwajibu.
Ila nimeona mpaka kwenye teknolojia sio jina ila kwenye mambo mengi ambayo tunafanya kama binadamu.
mfano namba 9 inaweka kuwa 6 hapa ndio binadamu wakapishana.
Mfano 3 kwa mwengine ikawa B.
Kwa nini 6 iwe jicho la ufahamu .
Mwanasayansi alisema ukiweza kufumbua fumbo ili ushaweza kuwa ulimwengu mwengine.
View attachment 3612680
🫡Yes 6 is the 3rd eye chakra
Zidisha kutumia hii miwili kama mimi Paroco wako 😂😂😂😂😂😂😂😂Si unaona ata wanaume tuna miguu mitatu
Mshana Jr hii elimu naomba nikupe uweze kuwajibu.
Ila nimeona mpaka kwenye teknolojia sio jina ila kwenye mambo mengi ambayo tunafanya kama binadamu.
mfano namba 9 inaweka kuwa 6 hapa ndio binadamu wakapishana.
Mfano 3 kwa mwengine ikawa B.
Kwa nini 6 iwe jicho la ufahamu .
Mwanasayansi alisema ukiweza kufumbua fumbo ili ushaweza kuwa ulimwengu mwengine.
View attachment 3612680
Umepotelea wapi mchumba? Tulikusubiri sana siku ya mahari🥲Si unaona ata wanaume tuna miguu mitatu
Tell me more please..🥲Welcome to my world babe
Nawewe? Hutabiriki!Yes 6 is the 3rd eye chakra
WhyNawewe? Hutabiriki!
Ivi kwanini watu wa humu wakiona mtu umemfungulia uzi na wao wanafanya hivyoNawewe? Hutabiriki!
Labda wanahisi kuna kitu watapata!Ivi kwanini watu wa humu wakiona mtu umemfungulia uzi na wao wanafanya hivyo
Kila kitu unajua
Ebu njoo ucheki profile yangu unitajie email ujue hadi naogopaLabda wanahisi kuna kitu watapata!
Si ndo vizuri japo najua partially not deeplyKila kitu unajua