bless on
JF-Expert Member
- May 22, 2026
- 1,213
- 2,938
NumerologyMshana Jr hii elimu naomba nikupe uweze kuwajibu.
Ila nimeona mpaka kwenye teknolojia sio jina ila kwenye mambo mengi ambayo tunafanya kama binadamu.
mfano namba 9 inaweka kuwa 6 hapa ndio binadamu wakapishana.
Mfano 3 kwa mwengine ikawa B.
Kwa nini 6 iwe jicho la ufahamu .
Mwanasayansi alisema ukiweza kufumbua fumbo ili ushaweza kuwa ulimwengu mwengine.
View attachment 3612680