Kuna siri gani ya namba 3,6,9 na kwa nini ukiweza kujua hizi namba wewe umekuwa universe?

Achana na kusikiliza stori za motivesheno spika na wasoma nyota wa Facebook utoke hapo kwa shemeji utafute kazi ufanye.

Hakuna pesa ya bure
 
Elimu ya namba wanayo watu wachache wengi hatuna tunadanganya kama utakavyodanganywa humu
 
Hizi namba utafikiri zina uchawi, angalia Hapa: Kila ukizipunguza Bado utakuja kubakia na 3,6,9...

Dakika 1= sekunde 60 (6+0=6).
Saa 1= dakika 60 (6+0=6)
Siku 1= Masaa 24 ( 2+4=6)
Wiki 1= Masaa 168 (1+6+8=15, (1+5)=6
Mwezi 1 (30)= Masaa 720 (7+2+0=9)
Mwaka 365= Masaa 8760 (8+7+6+0=21, 2+1= 3...

Angalia hata Saa zetu tunazovaa au zile za nyumba jinsi zilivyo utakuta zimegawanywa Kwa tatu...

Tuje kwenye maumbo ya hesabu sasa:

Duara Lina nyuzi 360 = 3+6+0= 9
Nusu Duara Lina nyuzi 180= 1+8+0=9
Robo Duara Lina nyuzi 90= 9+0=9

Ukija hata Kwa pembe tatu nyuzi zake nazo ni hizo, mwisho utapata hizo namba zinazoishia na matatu...

Angalia namba Tisa ilivyo, ukiizidisha Kwa mbili Kila jibu lake, basi lazima ukiichambua Hadi mwisho utapata Tisa mfano:
9 mara 2= 18(1+8=9)
18 mara 2= 36 (3+6=9)
36 mara 2= 72 (7+2=9)
72 mara 2= 144 (1+4+4=9)
Ukienda hivi na kuvunja vunja utazidi kupata namba zile zile...

Mfano kuna mahali utazidisha utapata 73728, ukiizidisha Kwa mbili utapata 147,456 (1+4+7+4+5+6=27, 2+7=9), Unapata 9 bado namba yote hiyo, mwisho wa namba ni Tisa...

Tuchukue namba rahisi Tu za kuanzia 1-9: ifanye Tisa iwe chanya +9... bado ukiijumlisha na yoyote wa nyuma Yake, jibu utakalopata ukiligawa still utabakia na namba Ile Ile uliyoijumlisha na Tisa chanya, mfano

1+9=10, ukiichambua ni 1+0= 1
2+9=11, ukiichambua ni 1+1=2
3+9=12,ukiichambua ni 1+2=3
4+9=13, ukiichambua ni 1+3=4
5+9=14,ukiichambua ni 1+4=5
Ukienda Hadi mwisho 9+9=18, 1+8=9(unarudi kule kule kwenye namba uliyoijumlisha na +9)....

Kwenye dini za kiislamu na kikristo utatu upo kama kawaida, ukristo Una utatu, uislamu nao mambo mengi Yapo Kwa tatu tatu, wanaita witri...

Watu wenye Elimu Fulani Fulani hufanya mambo Yao Kwa tatu tatu, inahitaji uwe na akili nyingi Sana (super genius) kuweza kujua maana ya tatu tatu, kinyume na hapo Bora ufuate Tu bila kuelewa maybe unaweza kufaidika.
 
Punguza propaganda na kusikiliza stori za kusadikika
 
Hizi namba utafikiri zina uchawi, angalia Hapa: Kila ukizipunguza Bado utakuja kubakia na 3,6,9...

Dakika 1= sekunde 60 (6+0=6).
Saa 1= dakika 60 (6+0=6)
Siku 1= Masaa 24 ( 2+4=6)
Wiki 1= Masaa 168 (1+6+8=15, (1+5)=6
Mwezi 1 (30)= Masaa 720 (7+2+0=9)
Mwaka 365= Masaa 8760 (8+7+6+0=21, 2+1= 3...

Angalia hata Saa zetu tunazovaa au zile za nyumba jinsi zilivyo utakuta zimegawanywa Kwa tatu...

Tuje kwenye maumbo ya hesabu sasa:

Duara Lina nyuzi 360 = 3+6+0= 9
Nusu Duara Lina nyuzi 180= 1+8+0=9
Robo Duara Lina nyuzi 90= 9+0=9

Ukija hata Kwa pembe tatu nyuzi zake nazo ni hizo, mwisho utapata hizo namba zinazoishia na matatu...

Angalia namba Tisa ilivyo, ukiizidisha Kwa mbili Kila jibu lake, basi lazima ukiichambua Hadi mwisho utapata Tisa mfano:
9 mara 2= 18(1+8=9)
18 mara 2= 36 (3+6=9)
36 mara 2= 72 (7+2=9)
72 mara 2= 144 (1+4+4=9)
Ukienda hivi na kuvuna vunja utazidi kupata namba zile zile...

Mfano kuna mahali utazidisha utapata 73728, ukiizidisha Kwa mbili utapata 147,456 (1+4+7+4+5+6=27, 2+7=9), Unapata 9 bado namba yote hiyo, mwisho wa namba ni Tisa...

Tuchukue namba rahisi Tu za kuanzia 1-9: ifanye Tisa iwe chanya +9... bado ukiijumlisha na yoyote wa nyuma Yake, jibu utakalopata ukiligawa still utabakia na namba Ile Ile uliyoijumlisha na Tisa chanya, mfano

1+9=10, ukiichambua ni 1+0= 1
2+9=11, ukiichambua ni 1+1=2
3+9=12,ukiichambua ni 1+2=3
4+9=13, ukiichambua ni 1+3=4
5+9=14,ukiichambua ni 1+4=5
Ukienda Hadi mwisho 9+9=18, 1+8=9(unarudi kule kule kwenye namba uliyoijumlisha na +9)...Kwa watu kama Tesla, Muhammad, Jesus wanaweza wakawa na majibu ya kina kabisa kuhusu haya Mambo maana wao ni ma genius Sana, Sisi ni wafuata upepo.

Kwenye dini za kiislamu na kikristo utatu upo kama kawaida, ukristo Una utatu, uislamu nao mambo mengi Yapo Kwa tatu tatu..

Watu wenye Elimu Fulani Fulani hufanya mambo Yao Kwa tatu tatu, inahitaji uwe na akili nyingi Sana (super genius) kuweza kujua maana ya tatu tatu, kinyume na hapo Bora ufuate Tu bila kuelewa maybe unaweza kufaidika, haya Mambo kama unahisi ni sahihi unaweza kufanya routines zako Kwa tatu tatu kama huamini havitakupunguzia chochote pia...
 
Nakazia hapa, tena maharage ya kwa shemeji yake

Elimu ya namba ni kama elimu ya nyota, sio zile za anga za juu. Ni zile n'ge, mapacha, ndoo, mshale nk zipo 12
ni kama dini amin usihamini utajue wewe

acha dharau, au kuzodoa wengine kama haujui au hayakuhuusu kaa kmya soma mawazo ya wengine jielimishe au usionyeshe ujinga wako
 
Tell me more please..🥲
Ops, ni number ambazo Nikola Tesla alikuwa Obsessed nazo sana...alipokuwa maarufu sana kwa ugenious wake alikuwa akifanya madoido ya kushangaza watu

Foristance ..alikuwa kabla ya kuingia kwny Experiment block alizunguka lile jengo mara 3 (3x), alikuwa akinawa mikono atajifuta na Napkins 18 (divided by 3)

Pia, alikuwa akilala kwenye hotel yenye number inayogawanyika kwa 3 tu

So, ni Obsession tu...haikuhusishwa na uchawi kwsbb hakuwa Mchawi ila Scientist 😂
 
Alafu Kuna hii 888 Kuna Tajiri mmoja ameweka plate number gari yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…