Kuna siri gani ya namba 3,6,9 na kwa nini ukiweza kujua hizi namba wewe umekuwa universe?

Numerology
 
Kwahiyo ni sayansi tu?
 
Katika ulimwengu wa roho na akili, namba 6 inawakilisha milango sita ya fahamu. Sisi tunajua milango 5 (kuona, kusikia, kunusa, kuonja, na kugusa). Mlango wa 6 ni ule ufahamu wa ndani (Intuition/Third Eye) unaomfanya mwanadamu aone mambo yaliyopo nje ya ulimwengu huu wa nyama. kwa hiyo ukizielewa namba 3, 6, na 9 kama alivyosema Tesla, unavuka kutoka ulimwengu wa 'macho ya nyama' na unaingia kwenye ulimwengu wa 'jicho la tatu/mlango wa sita' wa ufahamu ambapo unaona uhalisia wa mambo ulivyo, na si jinsi unavyoonekana
 
Inasemekana namba hazijabuniwa ila zimegunduliwa. Kuna siri kubwa kwenye namba mfano(time, space, matter)3, (solid, liquid, gaseous)3. Hiyo haijatokea bahati mbaya. Mimba kwa makadirio ni miezi 9 ila kiumbe kinapata energy na kuwa active baada ya miezi mitatu mimba kutungwa. Wastani wa urefu wa mtu ni futi 6 na kuzikwa ni 6ft chini ya ardhi. Yapo mengi sana ya kustaajabisha.

Mimi in numerology ni namba 9, mwanangu ni namba 3.
Maajabu ni kwamba bond yangu na yake haina mfano, yaani nikimuona, najiona mimi kabisa.
 
Reactions: Fbn
Ok
 
Lets say umeazaliwa tareh 10-06-2000
Unazijumlisha namba zote 10+6+2000
Unapata 16+2000
Unazijumulisha mpaka upate digits 16+20
36
3+6
=9
Sijakuelewa!

Naomba tuongee PM dokta Seran hesabu sikuwahi kufaulu
 
1. Ask 3 times
2. Believe 6 times
3. Be Grateful (Received) 9 times
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…