Kuna siri kubwa iliyofichwa katika kuoga maji ya maporomoko ya Marangu

Nilisisimka visivyo kawaida.

Mwili ulipiga shoti haswa baada ya kufikisha usoni. Nilishtuka labda mwili haukuwa tayari kupata maji baridi. Ila nilishadumbukia muda tu. Nilitoka.

Nikasimama juu ya jiwe, baadae nikaamua kurudi. Nilisimama muda kidogo bila kuogelea, lakini niliponawa tena usoni hali ile ile ilijirudia. Kwa kiwango kile kile.

Nilipoanza kufikiri kwamba kuna kitu, hali ile ikanipotea mazima.

Siku ilikuwa nzuri sana. Kule dhambi ndipo zinapooshwa (kidding)
Maji ya utakaso.

Wajuaji wa jamiiforums watabisha.
 
Nilisisimka visivyo kawaida.

Mwili ulipiga shoti haswa baada ya kufikisha usoni. Nilishtuka labda mwili haukuwa tayari kupata maji baridi. Ila nilishadumbukia muda tu. Nilitoka.

Nikasimama juu ya jiwe, baadae nikaamua kurudi. Nilisimama muda kidogo bila kuogelea, lakini niliponawa tena usoni hali ile ile ilijirudia. Kwa kiwango kile kile.

Nilipoanza kufikiri kwamba kuna kitu, hali ile ikanipotea mazima.

Siku ilikuwa nzuri sana. Kule dhambi ndipo zinapooshwa (kidding)
Itabidi nikifika moshi nikapate refreshment ya mind.
Na nitafanya meditation kidogo nione kifuatacho
 
Haya mambo ukitilia maanani unaweza kuwa mjinga au mshirikina...
Na hako kadiploma kako uchwara cha kudunga watu sindano unafikiri unaujua huu ulimwengu??

Wewe bado sana! Ati CLINICIAN!!! Hahahaaa sifuri kabisa!
 
Itabidi nikifika moshi nikapate refreshment ya mind.
Na nitafanya meditation kidogo nione kifuatacho
Nenda madam.

Zama majini, keti mahali ambapo maji yatakufikia Shingoni tu. Angalia upande ambao maji yanatua, ili yale matone tone na mvuke ukupige usoni.

Vuta hisia, I swear they will the most than you ever experienced.
 
Back
Top Bottom