Lorenzo Samike
JF-Expert Member
- Jun 18, 2021
- 1,187
- 1,914
Maji ya utakaso.Nilisisimka visivyo kawaida.
Mwili ulipiga shoti haswa baada ya kufikisha usoni. Nilishtuka labda mwili haukuwa tayari kupata maji baridi. Ila nilishadumbukia muda tu. Nilitoka.
Nikasimama juu ya jiwe, baadae nikaamua kurudi. Nilisimama muda kidogo bila kuogelea, lakini niliponawa tena usoni hali ile ile ilijirudia. Kwa kiwango kile kile.
Nilipoanza kufikiri kwamba kuna kitu, hali ile ikanipotea mazima.
Siku ilikuwa nzuri sana. Kule dhambi ndipo zinapooshwa (kidding)
Wajuaji wa jamiiforums watabisha.