GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Samuel Eto'o kasema kabla hajawa staa mke wake alikua dada wa salun huko Ufaransa na alikua akimpa ela ya kujikimu mpenzi wake Eto'o wakati Eto'o akienda kwenye majaribio ya mpira kwenye vilabu mbalimbali vya soka
Eto'o anasema baada ya kupata timu na kuanza kupata mshahara mkubwa aliamua kumuoa mwanamke huyo aliyetoka nae mbali na hadi leo wapo pamoja kwenye ndoa zaidi ya miaka 20
Funzo: Ukifanikiwa usitafute penzi jipya heshimu aliyetoka mbali na ww na kukupa support.
Haya nami GENTAMYCINE nasema kuwa nyie Watu FUDENGE ( Washamba na Malimbukeni ) jifunzeni katika hili sawa?