Kuna Somo Kubwa sana la Kujifunza hapa hasa kwa Washamba na Malimbukeni wa Mafanikio ya Ukubwani na ya Dharula ya Kiuchumi

Kuna Somo Kubwa sana la Kujifunza hapa hasa kwa Washamba na Malimbukeni wa Mafanikio ya Ukubwani na ya Dharula ya Kiuchumi

Samuel Eto'o kasema kabla hajawa staa mke wake alikua dada wa salun huko Ufaransa na alikua akimpa ela ya kujikimu mpenzi wake Eto'o wakati Eto'o akienda kwenye majaribio ya mpira kwenye vilabu mbalimbali vya soka

Eto'o anasema baada ya kupata timu na kuanza kupata mshahara mkubwa aliamua kumuoa mwanamke huyo aliyetoka nae mbali na hadi leo wapo pamoja kwenye ndoa zaidi ya miaka 20

Funzo: Ukifanikiwa usitafute penzi jipya heshimu aliyetoka mbali na ww na kukupa support.

Haya nami GENTAMYCINE nasema kuwa nyie Watu FUDENGE ( Washamba na Malimbukeni ) jifunzeni katika hili sawa?
Mzee sawa lkn pia tumepata funzo kutoka kwenye thread yako kuwa mke wa Etoo alimvumilia Etoo je wale majeuri na wenye dharau kwa wenza wao wanaoyumba katika utafutaji tuendelee kuwa nao?
 
Mnapiga story kwa hisia, kuna mda Etoo alipewa maneno ya shombo lakini nyinyi hamkusikia wanaume tutafute hela OVER.
 
Back
Top Bottom