GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hapo unajikuta kama Bathlomeo. Myahudi halisi.Mzee Netanyahu unaupiga mwingi kunako ukanda wa Gaza.
Inakuwaje kwa aliyekukimbia ukiwa down na kuhitaji kurudi baada ya mafanikioSamuel Eto'o kasema kabla hajawa staa mke wake alikua dada wa salun huko Ufaransa na alikua akimpa ela ya kujikimu mpenzi wake Eto'o wakati Eto'o akienda kwenye majaribio ya mpira kwenye vilabu mbalimbali vya soka
Eto'o anasema baada ya kupata timu na kuanza kupata mshahara mkubwa aliamua kumuoa mwanamke huyo aliyetoka nae mbali na hadi leo wapo pamoja kwenye ndoa zaidi ya miaka 20
Funzo: Ukifanikiwa usitafute penzi jipya heshimu aliyetoka mbali na ww na kukupa support.
Haya nami GENTAMYCINE nasema kuwa nyie Watu FUDENGE ( Washamba na Malimbukeni ) jifunzeni katika hili sawa?
Yule aliyetuongopea kuwa miaka ya 70 aliyokuwepo Yeye Dar es Salaam kulikuwa hakuna Hospitali ya Agha Khan au?kuna member atakuja hapa kutukana😊
Mrudie tu kisha mpige Pumbu ya Hasira na ukiweza pita nae Rough Road Yombo Vituka kwa Mpalange kisha mbwage.Inakuwaje kwa aliyekukimbia ukiwa down na kuhitaji kurudi baada ya mafanikio
Asante.Genta nimefurahia andishi lako hili
Mwanamke huwa wanajicho la tai , hata kama huna chochote wana uwezo wakuona mbele yako nzuri miaka 20 baadae.Dada aliona mbali....
Wanaume tubadilike Mwanamke ambaye umetoka nae mbali na ukafanikiwa unatakiwa Umuheshimu na Kumtunza.Dada wa Saluni aliwekeza na amevuna,jambo jema ni kwa Eto'o kukumbuka wema wake na kujali kwake,hiyo ndio true love.
Nimecheka mpaka basi Mkuu.Hawa kina Mwajuma ndala ndefu,wao wakipata bwana,wanaona ndio kama wamepata ajira,na kumpa hela ni wajibu wako,yani kama vile wewe ndio umeushika mshahara wake.