Kuna Taarifa zinasema Chaz Lee amekamatwa naomba uongozi wafatilie hizi taarifa kama ni sahihi.

Amekamatwa kwa sababu gani?

Nadhani kwa ajili ya kukosoa.
Screenshot_20250627-185310_1751108900340.jpg
 
Unaletaje taarifa kiboya namna hii. Kama kakamatwa kwa wizi kuna shida gani? Kama kakamatwa kwa maudhui yake hapa jf hilo haiwezekani. Jf inalinda taarifa za watu wake.
Kama kafabja ujinga huko fesibuku, insta na mitandao mingine ya uchochoroni jf haihusiki.
Kwanza huyo jamaa ni nani?
 
Acha negativity humanity must lead Nigga
 
United Republic of Gangstas (URG). Nimejaribu kuitafuta kwenye ramani sijaiona iko upande gani hii?
 
Unaletaje taarifa kiboya namna hii. Kama kakamatwa kwa wizi kuna shida gani? Kama kakamatwa kwa maudhui yake hapa jf hilo haiwezekani. Jf inalinda taarifa za watu wake.
Kama kafabja ujinga huko fesibuku, insta na mitandao mingine ya uchochoroni jf haihusiki.
Kwanza huyo jamaa ni nani?
Hahahahahahahaha hahahahahahaha.....! Walahi umenichekesha sana!
 
Back
Top Bottom