DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Tayari?Chaz Lee inasemekana amekamatwa .
Naomba uongozi wa JF ufatilie hili swala.
Sehemu za kufatilia ni kwa Malisa GJ n.k
OkayTayari?
Anaonekana hajapost hapa jukwaani Toka 28/03/2021.Chaz Lee inasemekana amekamatwa .
Naomba uongozi wa JF ufatilie hili swala.
Sehemu za kufatilia ni kwa Malisa GJ n.k
Ana ukurasa wake Facebook alikuwa akichapisha habari zake za kiharakati.Anaonekana hajapost hapa jukwaani Toka 28/03/2021.
Sasa si anaenda kuwapiga shule ya kutosha ya No Reform, No Election waliomchukua? Kila la heri kwake!!Ana ukurasa wake Facebook alikuwa akichapisha habari zake za kiharakati.
Acha negativity humanity must lead NiggaUnaletaje taarifa kiboya namna hii. Kama kakamatwa kwa wizi kuna shida gani? Kama kakamatwa kwa maudhui yake hapa jf hilo haiwezekani. Jf inalinda taarifa za watu wake.
Kama kafabja ujinga huko fesibuku, insta na mitandao mingine ya uchochoroni jf haihusiki.
Kwanza huyo jamaa ni nani?
Hahahahahahahaha hahahahahahaha.....! Walahi umenichekesha sana!Unaletaje taarifa kiboya namna hii. Kama kakamatwa kwa wizi kuna shida gani? Kama kakamatwa kwa maudhui yake hapa jf hilo haiwezekani. Jf inalinda taarifa za watu wake.
Kama kafabja ujinga huko fesibuku, insta na mitandao mingine ya uchochoroni jf haihusiki.
Kwanza huyo jamaa ni nani?
We kwl hamnazo, unatuuliza hbr za kibwengo cha wapi hicho? Ni nani mpk tumjue? We kwl ni zombieChaz Lee inasemekana amekamatwa .
Naomba uongozi wa JF ufatilie hili swala.
Sehemu za kufatilia ni kwa Malisa GJ n.k