Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,955
Halmashauri za majiji, manispaa na mini.Kwa mfano taasisi zipi tupate picha halisi isije ukawa unazungumzia upigaji ambao umedhibitiwa kwa sasa?
Wewe ni Bonde La Baraka mkuu usiwabeze wenzako na kujiona bora! maisha nyuma ya keyboard haya
Ova!
Mtumishi inabidi aishi kwa uhuru.Basically, huwezi kuwa tajiri kwa kuajiriwa na kutegemea only one stream of income (salary) huku ukisubiri kustaafu na upate pension. Chances are very minimal unless uwe jizi sugu, tena jizi wa deals nene nene
We ndo umesema ukweli. Watu wa serikali wanaoweza kuwa na kipato either uwe mwizi wa mali ya umma tena mwizi mkubwaa kama alivokuwa lowasa n.kBasically, huwezi kuwa tajiri kwa kuajiriwa na kutegemea only one stream of income (salary) huku ukisubiri kustaafu na upate pension. Chances are very minimal unless uwe jizi sugu, tena jizi wa deals nene nene
Mkuu wewe ni consultant wa nini??Basically, huwezi kuwa tajiri kwa kuajiriwa na kutegemea only one stream of income (salary) huku ukisubiri kustaafu na upate pension. Chances are very minimal unless uwe jizi sugu, tena jizi wa deals nene nene
Wa mademuMkuu wewe ni consultant wa nini??
Kwa mfano taasisi zipi tupate picha halisi isije ukawa unazungumzia upigaji ambao umedhibitiwa kwa sasa?
Usiombe upate ajira wizala y elimu kunawatu ata chai awanywi paleWale wanaotufundisha shuleni wanaongoza aisee
Bila shaka hyo 520k ni ya Temesa,na hyo 1200000 ni kitu Kama Tanroads.Halmashauri za majiji, manispaa na mini.
Bila kusahau wakala za serikali na taasisi zilizo chini ya serikali kuu.
Mfano : Kuna technician alikuwa analipwa 520k na taasisi Fulani. Kahamia taasisi nyingine sasa analipwa 1200k. Na posho karibu 800 k per month.
Yes off course utajiri ni kitu kingine kabisa.Mtumishi inabidi aishi kwa uhuru.
Apate basic needs zake kwa wepesi.
Sasa mtu wa take home ya laki tatu, nne, tano huyu ataweza kumpa mwanae elimu bora na kupata fedha ya kufanya biashara. Kumbuka ukiajiriwa kwa tafsiri nyingne ni kwamba mahitaji yako muhimu utapewa na mwajiri wako.
Taasisi kama TEMESA, GPSA, TTRI, LITA, RITA, serikali kuu, SIDO, hizi ni baadhi ukikaa huko hata nguo mpya unauweza shindwa kununuaBila shaka hyo 520k ni ya Temesa,na hyo 1200000 ni kitu Kama Tanroads.
Kama sijakosea ni hvyo