mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,487
- 14,559
Ni kweli kabisa bora hata kwa wahindiTaasisi kama TEMESA, GPSA, TTRI, LITA, RITA, serikali kuu, SIDO, hizi ni baadhi ukikaa huko hata nguo mpya unauweza shindwa kununua
Ni kweli kabisa bora hata kwa wahindiTaasisi kama TEMESA, GPSA, TTRI, LITA, RITA, serikali kuu, SIDO, hizi ni baadhi ukikaa huko hata nguo mpya unauweza shindwa kununua
Labda hao wanaowapiga mizinga nyie ni walevi sugu.Kwahiyo unashauri tukabanane wote kwenye hizo taasisi zinazolipa vizuri japo ni chache ? Mbona hizo taasisi wafanyakazi wake wanatupiga mzinga sisi watu wa serikali za mtaa ?
Bora watulie tu.Wakati huo kuna wengine wanatamani waingie hata huko ambapo wengine hawapataki
Weeeehh acha kufuru.Ni kweli kabisa bora hata kwa wahindi
Kaka unataka kuja kunikamata?😂Mkuu wewe ni consultant wa nini??
Mdio utajiri wenyewe uwo au unataka uwe na uwezo wa kwenda Mars ndio uwone utajiri.Yes off course utajiri ni kitu kingine kabisa.
Hapa tunaongelea maisha standard tu/maisha bora yaani kuhusu chakula usiwaze,pa kulala usiwaze,kusafiri usiwaze,kusomesha watoto isiwe shida.
Sio kila mwezi baada ya kununua chakula tu unabaki na madeni.
congrats bro!Kaka unataka kuja kunikamata?😂
I am a "jack of all trades and a master of most of them"😎
Hapo katika wote dah SIDO wamezidi asee mtu wa DIP anapokea 300k hapana ases jamaa kichefichef hawa.Taasisi kama TEMESA, GPSA, TTRI, LITA, RITA, serikali kuu, SIDO, hizi ni baadhi ukikaa huko hata nguo mpya unauweza shindwa kununua
Sio taasis za Serikali tu hata baadhi ya taasis binafsi,Wakuu kwema?
Ndio dunia inakabiliwa na tatizo la upungufu au ukosefu wa ajira ila kama watu tunaojihurumia ni vema kuchagua mwajiri bora na si bora mwajiri.
Kuna ofisi au taasisi zina watumishi maskini sana. Wanaomiliki nyumba za kisasa au magari ya kileo utakuta ni watu wa manunuzi, wahasibu na kiongozi mkuu wa centre husika tu. Wengine wote wanatia huruma.
Ukimwona mtumishi kajenga kibanda basi huyo kakopa na anaugulia maumivu kwa makato ya benki.
Ukikosa ajira unakuwa tayari kuajiriwa hata na mchoma mihogo.
Kuna taasisi za serikali mmmhh, bora kwenda kulima viazi tu.
hahahah mkuu kuna taasisi we acha tu hata chai ya 500 ofisini itakushinda kupataHapo katika wote dah SIDO wamezidi asee mtu wa DIP anapokea 300k hapana ases jamaa kichefichef hawa.
Vipi Halmashauri hujawaweka mkuu hapo.
PCCB wako njema mkuuKuna taasisi pia zina majina makubwa ila uhalisia wa maisha ya watumishi wake ni kichefuchefu
PCCB= wakala wa usajili wa masikini tz
Hapo ni uzalendo kwanza, utajiri mbinguni
Kwahiyo idara hii ukinunua tasi wa 5000 umle kwa soda kama msosi wa asubuhi unaonekana huna akili timamu au unawachora wenzako?Idara ya elimu inaongoza kwa watumishi masikini. Idara hizi zinaongoza kwa wivu, majungu, umbea na unafiki. Sehemu alipo mwajiliwa idara ya elimu akila dagaa, mchicha au kabeji anabana matumizi, akila samaki au nyama anatumia pesa vibaya. Hii idara sio nzuri aisee