Kuna Taasisi za Serikali ukiajiriwa ni kama umejisajili kuwa maskini milele

Kuna Taasisi za Serikali ukiajiriwa ni kama umejisajili kuwa maskini milele

Cc watu SIDO sijui tumeikosea nn nchi hi
Hahah mwanangu nakuonea huruma sana😀😀😀 Dah ila naskia soon mnabadirishiwa Scales ziwe kama za Serikali kuu hapo ndo afadhari yenu dah life hii ila naskia wanaokula SIDO ni Manager wenu wametengeneza mazingira ninyi wa chini muendelee kusota wao wakiwa na Ranks nzuri tu.
 
Kwahiyo SIDO salary iko chini kuliko wale wanaolipwa kwa muundo wa serikali kuu?
 
vyuo vya maendeleo ya wananchi...

dah, watumishi wamechoka sana, hiv karibu walianza kupeleka mpka graduates na engineers, itachukua muda sana watumish kuendelea, ingawa mostly wanakimbia na kuhama...
 
vyuo vya maendeleo ya wananchi...

dah, watumishi wamechoka sana, hiv karibu walianza kupeleka mpka graduates na engineers, itachukua muda sana watumish kuendelea, ingawa mostly wanakimbia na kuhama...
Unajua hivi vyuo sivijui vinafananaje na kazi zake japo navisikiaga sana
 
Tena wacha tu tumshukuru Mungu!
Wakiamua kuvalia njuga ktk kufuatia haja ya uwepo wa kila mtumishi ktk taasisi za umma na namna anavyowajibuka ktk kuleta tija na ufanisi sijui itakuwaje !

Mengine tupotezee tu walolala wasiamshwe!
 
Masikini Hakipata Matako Hulia Mbwata , Wezenu Wanazitafuta Hizo Nafasi
kweli kabisa mkuu, wadau wengi hapo tayari ni wafanyakazi hawana presha wameshasahau walipotoka, wanaongea wanavyojisikia, hawajui hizo kazi za laki 3 kuna watu wanazigombania tena wanaenda kwa waganga wa kienyeji wapewe dawa ya kupata kazi.
mimi nawafahamu rafiki zangu ambao ni graduates wamesota sana mtaani, ikabidi wabadili fani kwasasa ni madereva wa serikalini na wengine private.
 
Back
Top Bottom