Kuna Taasisi za Serikali ukiajiriwa ni kama umejisajili kuwa maskini milele

Kwahiyo SIDO salary iko chini kuliko wale wanaolipwa kwa muundo wa serikali kuu?
Anaefanya kazi serikali kuu ni boss kwa mtu wa SIDO kwa level ya DIP anakula 300k na DEGREE anakula 700k Hiyo ni Gross ila level za Senior jamaa mishahara mizuri ko kuna Bias flani hivi katika Ranks.
 
Maboss wanajilimbikizia mema ya nchi huku wadogo wanaminywa sio!
Not fair
 
Basically, huwezi kuwa tajiri kwa kuajiriwa na kutegemea only one stream of income (salary) huku ukisubiri kustaafu na upate pension. Chances are very minimal unless uwe jizi sugu, tena jizi wa deals nene nene
Mkuu, kuna watu walikuwa wanalipwa 35m per month, nenda huko vyombo vya ulinzi uone maisha ya maafsa mkuu, hautaamini kama ndio nchi inayotamkwa kuwa ni maskini. Wanasiasa ndo kabisaaaaaa, hii nchi bado haijapata mzalendo wa kutuongoza, na nafuu saana Hayati Nyerere.
 
Msemo ''uwe Akili nyingi huongeza maarifa''.

siyo huondoa maarifa tulidanganywa sana aisee! watumishi wana shida sana mimi nilijiondokea mkuu eti niko chini ya serikali za mitaa mshahara laki 400000/tsh duuuh!
 
Idara ya Afya muyajue haya,
labda uwe mwizi na kura rushwa za wagonjwa. au utoe mimba sanaaa! au uibe dawa sana kwa wale wakuu wa vituo na hapo utapata kanyumba tuu. kigari cha mawazo. mfano ukiwa ward ya kipindupindu ni umaskini tosha kabisa. JF nawashauri msifanye kazi hii, mtu anaharisha maji maji ya mchele, hata hela ya kuhonga nesi hana. kituko cha mwaka ward yenyewe haina maji ya bomba.

Hapo sasa fanya mipango ukasome uone utakavyozungushwa, yaani ni umaskini juu ya kuhudumiwa na maskini aliye kosa fursa ya kujiendeleza, hata huyuhuyu Boss maskini akipata hana sifa. wanachuki hao ni hatareee!
Tatizo linakuja sasa ukisha onja hii hela yao ya mshahara unakuwa mbishi kutoka kwenye lindi la umaskini huu uliouanzisha. Sijui moshi na mafuta ya mwenge wa uhuru yanawaathiri?.
Utasikia daktari au mwalimu anasema ngoja nichukue mshahara wa mwezi huu tu! nisepe! mpaka miaka inaisha dororo! na pale unapo pata nafasi ya kwenda nje uko busy kazini!. utajagundua kuwa ulipata siku zimeenda sana.
Labda uwe Afya jeshini poa. hawana longolongo, chuma cha moto hawa. hata Raia Magu mwenyewe anawaogopa sana. wakikohoa hawa jamaa Magu anaitika abe!. na asijifanye kutumbuatumbua huku! wakimuangalia raia haeleweki!

wanamgeuka saa sifuriii, hawatabiriki, hawaliliwi hali, wanaanzaga na vibaraka wakuu wa majeshi kuwaua . na jeshi la Mkoloni safari hii haliji kuwatuliza, sijui ikitokea mtafanyaje. hataki tena

Elimu ndo daaah! chaki utauza wapi? kwa nani? na lini? na saa ngapi! msijaribu kwenda huko kutafuta hati za umaskini,

Umaskini ni ugonjwa ati! sasa ukiumwa wewe ni marehemu mtarajiwa, you are walking dead and you are comfortably on your own desire.

MLETA UZI MUNGU AKUBARIKI.
 
Amina.
Pole kwa kazi ngumu ya ujenzi wa Taifa
 
KWELI
 
Idara ya elimu inaongoza kwa watumishi masikini. Idara hizi zinaongoza kwa wivu, majungu, umbea na unafiki. Sehemu alipo mwajiliwa idara ya elimu akila dagaa, mchicha au kabeji anabana matumizi, akila samaki au nyama anatumia pesa vibaya. Hii idara sio nzuri aisee
Hao ni wale unakuta anasaidia kwao ila hakuna idara ni rahisi kuwa tajiri kama idara ya elimu coz unapata muda wa kufanya mambo yako. Mi kuna walimu nikikutajia hapa wana ukwasi wa bei mbaya waliinvest kwenye mambo mengine ila ukitegemea mshahara ukutoe utakufa maskini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom