Kuna Taasisi za Serikali ukiajiriwa ni kama umejisajili kuwa maskini milele

Kuna Taasisi za Serikali ukiajiriwa ni kama umejisajili kuwa maskini milele

Basically, huwezi kuwa tajiri kwa kuajiriwa na kutegemea only one stream of income (salary) huku ukisubiri kustaafu na upate pension. Chances are very minimal unless uwe jizi sugu, tena jizi wa deals nene nene
Yaah ni kweli AJIRA YA KUAJIRIWA, tena nasema ya kuajiriwa POPOTE PALE, iwe serikalini, iwe kwa watu, matajiri binafsi au kwa wawekezaji kutoka NJE, haiwezi kukutoa kwenye umasikini. Mwajiri yoyote hawezi kukupa wewe pesa ya kukutoa kwenye umasikini. Akupe pesa ya kukutoa kwenye umasikini ILI IWEJE? Akupe pesa ya kukutoa kwenye umasikini ili umuache, uache kazi kwake na uende ukajitegemee halafu ATAFUTE mfanyakazi mwingine na aanze kumfundisha upya awe mfanyakazi kama wewe uliyetoka!? Matajiri wote hawana muda huo wala malengo ya kuwatoa watu kwenye UMASIKINI bali kwa kuwafanya wadumu kwenye AJIRA milele na milelel. Sasa tufanye nini tutoke kwenye huu UMASIKINI unaotakana na hizi ajira kandamizi?
 
Halmashauri ni shida sana ha ha ha
Graduate wanakula 470,000 sasa si bora ukalime tu au uwe kondakta
Tena hapo wameongezea wkt naanza ilikuwa 250000/=Tsh. Na kuipata hii ujipendekeze sana wakujue, ndiyo itakuja kwa muda. Au una ndugu juu.

Cheo hichohicho sector binafsi Tsh 1000,000/= kwa mwezi. Bado safari na gift voucher za kumwaga.
 
Sasa tufanye nini jamani mbona nchi hii imeoza?
Idara ya Afya muyajue haya,
labda uwe mwizi na kura rushwa za wagonjwa. au utoe mimba sanaaa! au uibe dawa sana kwa wale wakuu wa vituo na hapo utapata kanyumba tuu. kigari cha mawazo. mfano ukiwa ward ya kipindupindu ni umaskini tosha kabisa. JF nawashauri msifanye kazi hii, mtu anaharisha maji maji ya mchele, hata hela ya kuhonga nesi hana. kituko cha mwaka ward yenyewe haina maji ya bomba.

Hapo sasa fanya mipango ukasome uone utakavyozungushwa, yaani ni umaskini juu ya kuhudumiwa na maskini aliye kosa fursa ya kujiendeleza, hata huyuhuyu Boss maskini akipata hana sifa. wanachuki hao ni hatareee!
Tatizo linakuja sasa ukisha onja hii hela yao ya mshahara unakuwa mbishi kutoka kwenye lindi la umaskini huu uliouanzisha. Sijui moshi na mafuta ya mwenge wa uhuru yanawaathiri?.
Utasikia daktari au mwalimu anasema ngoja nichukue mshahara wa mwezi huu tu! nisepe! mpaka miaka inaisha dororo! na pale unapo pata nafasi ya kwenda nje uko busy kazini!. utajagundua kuwa ulipata siku zimeenda sana.
Labda uwe Afya jeshini poa. hawana longolongo, chuma cha moto hawa. hata Raia Magu mwenyewe anawaogopa sana. wakikohoa hawa jamaa Magu anaitika abe!. na asijifanye kutumbuatumbua huku! wakimuangalia raia haeleweki!

wanamgeuka saa sifuriii, hawatabiriki, hawaliliwi hali, wanaanzaga na vibaraka wakuu wa majeshi kuwaua . na jeshi la Mkoloni safari hii haliji kuwatuliza, sijui ikitokea mtafanyaje. hataki tena

Elimu ndo daaah! chaki utauza wapi? kwa nani? na lini? na saa ngapi! msijaribu kwenda huko kutafuta hati za umaskini,

Umaskini ni ugonjwa ati! sasa ukiumwa wewe ni marehemu mtarajiwa, you are walking dead and you are comfortably on your own desire.

MLETA UZI MUNGU AKUBARIKI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basically, huwezi kuwa tajiri kwa kuajiriwa na kutegemea only one stream of income (salary) huku ukisubiri kustaafu na upate pension. Chances are very minimal unless uwe jizi sugu, tena jizi wa deals nene nene
Kwenye pension kikokotoo kina kusubili
 
Back
Top Bottom