Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Taasisi zote zenye asili ya mamlaka hazina shida maana mianya ya deals ni mingi hasa kuwabana watu kende 😂PCCB wako njema mkuu

Endeleeni kusimamia wachomea majiko 😂Cc watu SIDO sijui tumeikosea nn nchi hi