Kuna tahadhari za kuongezeka matukio ya ujambazi na unyang'anyi, mamlaka husika zimeshindwa?

Ujambazi ulikuwa ukifanyika awamu zote brother, tena kuna hadi wakuu wa wilaya na mikoa waikuwa wakifanya huo ujambazi awamu iliyopita huku wakilindwa na Rais
Mamb yalikua yanafanyika lakin tofauti na sasa ifike hatua msijitoe ufahamu hata na sisi tupo nchini tuliishi kwa amani sio kama sasa nakumbuka mtaani kwetu ilikua tunakabwa hadi mchana peupe peee kipindi cha mwendazake walibebwa vibaka na majambazi wote mtaani kulitulia
 
Tena kipindi cha mwenda zake kilikua zaidi hadi MKUU W WILAYA ALIKUA ANA MILIKI GENGE LA MAJAMBAZI KWA KIVULI CHA OFISI YA UMA.
 
Mamb yalikua yanafanyika lakin tofauti na sasa ifike hatua msijitoe ufahamu hata na sisi tupo nchini tuliishi kwa amani sio kama sasa nakumbuka mtaani kwetu ilikua tunakabwa hadi mchana peupe peee kipindi cha mwendazake walibebwa vibaka na majambazi wote mtaani kulitulia
Wanajitoa fahamu mkuu Hawa viumbe mpk wanajitoa upofu.
 
Waloshangilia kipindi mwendazake kwenda sasa tutawaona wizi utakithiri adi serikalini sio tuu mtaani. Yajayo yanafurahisha hii nchi bila ukali wa kujali maslahi mapana na usalama wa wanachi kuuweka mbele tutarudishwa hatua mia nyuma.
Ni bora uonekana katili kwa washenzi wachache kuliko kupoteza amani ya wananchi wengi mbaya zaidi naogopa inawezekana wengine wako wamevalia vazi la usalama
Anayezuia uhalifu ni vyombo vya dola hasa hasa jeshi la polisi.

Kuondoka kwa Magufuli hakwenda na IGP wala jeshi lake kwa ujumla.

Hivyo basi, tunategemea utendaji was polisi ubaki vile vile, vinginevyo watakuwa wanamhujumu Rais Samoa na kwa sababu hiyo afanye mabadiliko pindi aonapo kurejea kwa kiwango kikubwa cha uhalifu.
 
Kipindi chake walikua wanamuogopa mzew tofauti na sasa mama mpole mno mbn hivyo vyombo vya dola vilikuepo kabla yake lakin hatukukaa kwa amani lakin enzi zake kias flani kulitulia

Kikubwa mama awe mkali watu wafanye kazi kwa uhuru
 
Hongera Sana,umeutendea heshima kubwa Sana Uzi huu.

We really need such kind of opinions na siyo,u gang
 
Kipindi chake walikua wanamuogopa mzew tofauti na sasa mama mpole mno mbn hivyo vyombo vya dola vilikuepo kabla yake lakin hatukukaa kwa amani lakin enzi zake kias flani kulitulia

Kikubwa mama awe mkali watu wafanye kazi kwa uhuru
Kwa hiyo unamaanisha IGP Siro na jeshi lake ni magoigoi yaliyomuogopa Magufuli?
 
Kwan ndugu ukimpa mtu credit zake kuwa alifanya kazi nzuri ni kitatokea na mimi sijasema ni magoigoi ila vitengo vingi vilijua mzee ni mfwatiliaji wa mamb kuanzia chini

Mtu mwenye akili timamu asie na choyo atayaona haya
 
Anayezuia uhalifu ni vyombo vya dola hasa hasa jeshi la polisi.
Kuondoka kwa Magufuli hakwenda na IGP wala jeshi lake kwa ujumla.
Hivyo basi, tunategemea utendaji was polisi ubaki vile vile, vinginevyo watakuwa wanamhujumu Rais Samoa na kwa sababu hiyo afanye mabadiliko pindi aonapo kurejea kwa kiwango kikubwa cha uhalifu
Mkuu ni kweli haujui impact ya rais kwenye vyombo hivyo?? Unaweza kuwa na makamanda wenye weledi wa juu zaidi lakini rais akiwa goigoi hakuna kitu kitafanyika.
 
Na mzee alikua arembi alijitoa kweli kwa ajili yetu sisi watz lazima tujifunze kuwaunga mkono watu wanaojitoa maisha kwa aijili yetu ili tusiwafishe moyo wengine...
Na mama si kwamba anachukiwa bado ako na muda awe tuu mkali hii nchi itaendelea tofauti na hapo hata hiyo corona haitowamaliza watz itakua hayo mamb ya kihalifu
 
Mkuu ni kweli haujui impact ya rais kwenye vyombo hivyo?? Unaweza kuwa na makamanda wenye weledi wa juu zaidi lakini rais akiwa goigoi hakuna kitu kitafanyika.
Rais anachoweza kufanya ni kuingiza maslahi binafsi au siasa katika vyombo hivyo.
Utendaji wa siku kwa siku hautegemei Rais moja kwa moja, amedeligate power kwa wakuu wa vyombo hivyo.
 
Back
Top Bottom