Kuna tahadhari za kuongezeka matukio ya ujambazi na unyang'anyi, mamlaka husika zimeshindwa?

Kuna tahadhari za kuongezeka matukio ya ujambazi na unyang'anyi, mamlaka husika zimeshindwa?

Rais anachoweza kufanya ni kuingiza maslahi binafsi au siasa katika vyombo hivyo.
Utendaji wa siku kwa siku hautegemei Rais moja kwa moja, amedeligate power kwa wakuu wa vyombo hivyo.
Wanafwata maagizo ya nan na ni anauwezo wa kuwatoa kama wakizembea
 
Rais anachoweza kufanya ni kuingiza maslahi binafsi au siasa katika vyombo hivyo.
Utendaji wa siku kwa siku hautegemei Rais moja kwa moja, amedeligate power kwa wakuu wa vyombo hivyo.
Nashindwa kuandika zaidi, but all in all jiulize CDF ni yuleyule IGP ni yuleyule lakini Rais tofauti na mambo tafauti.
 
Pasipo kumung'unya maneno Hali ya usalama wa raia na Mali zao imetikiswa kwa kipindi hiki,matukio ya ujambazi,unyang'anyi,ukwapuaji,na ukabaji yameendelea kushamiri Sasa licha ya kuwepo na matamko mbali mbali kutoka kwa wenye dhamana na usalama wa raia. Kama halijakukuta Basi fanya simple research kwa kuulizia watu maeneo yako ya kazi au kwenye Daladala au hata kijiweni tu uwaulize maoni yao kuhusu Hali ya usalama mtaani kwao,kila kukicha utasikia hapa kama siyo pale .
Kuna huu ukwapuzi wa simu au bag na bodaboda unarudi nao kwa Kasi.
Tena hawa washenzi wanafunika plate number za pikipiki zao.
Polisi anzeni na hawa.wanaharibu Jina la bodaboda wengine walio raia Wema,
Lakini pia ile spirit na kasi ya kutokomeza ushenzi huu imeishia wapi? Je nayo imezikwa na mwendazake? Watu hawana amani kabisa hasa jua linapozama.

Mama yetu kwa hili nakuomba usilegeze sauti mama.
Punda haendi bila mijeredi na ukicheka na nyani utavuna mabua.

Nimeziona wameweka picha ya sirro na mabeyo ,maelezo yao naona kama ni comedy tu ,tahadhari hizo ni siku zote inabidi zichukuliwe si kwa kipindi hiki,sasa utamakaribishaje ndani mtu ambaye haumjui? Utampaje mchepuko siri zako za fedha? Utawekaje pesa ndani wakati kuna bank za kuhifadhi?
 
Kwan ndugu ukimpa mtu credit zake kuwa alifanya kazi nzuri ni kitatokea na mimi sijasema ni magoigoi ila vitengo vingi vilijua mzee ni mfwatiliaji wa mamb kuanzia chini

Mtu mwenye akili timamu asie na choyo atayaona haya
Credit zake anazo, na ni haki kabisa. Ninapinga mawazo ya kurudi nyuma kwamba akiondoka alichofanya kinaonaondoka.
 
Nimeziona wameweka picha ya sirro na mabeyo ,maelezo yao naona kama ni comedy tu ,tahadhari hizo ni siku zote inabidi zichukuliwe si kwa kipindi hiki,sasa utamakaribishaje ndani mtu ambaye haumjui? Utampaje mchepuko siri zako za fedha? Utawekaje pesa ndani wakati kuna bank za kuhifadhi?
Et usimpangishe mtu mwenye vifaa vichache, mtu anaazaje maisha kumbe??
 
Ndio maana nikasema ni kama ze comedy au futuhi,sasa kama mtu ndio anaanza maisha ana godoro na sufuria mbili tu?
Inasikitisha Sana kwamba waharifu waanze kutupangia nini Cha kufanya.
Wakati tulifikia wakati wa mabasi kusafiri mchana na usiku,na biashara kuendelea24/7 mahali popote .
We are decelerating very rapidly.
Hii lazima ichukuliwe kwa hali ya dharura.
 
Wanafwata maagizo ya nan na ni anauwezo wa kuwatoa kama wakizembea
Vyombo vya dola vimeanzishwa kwa mujibu wa katiba na sheria, vivyo hivyo vinatakiwa vitende kufuata hizo. Rais awepo, asiwepo, afe ni lazima nchi ibaki salama.
Viongozi wa wenye weledi wataviongoza na ikibidi wapingane na Rais pale anapokuwa na mawazo ya kuvunja katiba na sheria.
 
Na mzee alikua arembi alijitoa kweli kwa ajili yetu sisi watz lazima tujifunze kuwaunga mkono watu wanaojitoa maisha kwa aijili yetu ili tusiwafishe moyo wengine...
Na mama si kwamba anachukiwa bado ako na muda awe tuu mkali hii nchi itaendelea tofauti na hapo hata hiyo corona haitowamaliza watz itakua hayo mamb ya kihalifu
Alijitoa ??

Hujui alikua anavuta zaidi ya million 9 kwa mwezi bila makato?? Na bado akasema haimtoshi

Malazi bure, matibabu bure, ulinzi bure,chakula bure, ulinzi bure!
 
Mamb yalikua yanafanyika lakin tofauti na sasa ifike hatua msijitoe ufahamu hata na sisi tupo nchini tuliishi kwa amani sio kama sasa nakumbuka mtaani kwetu ilikua tunakabwa hadi mchana peupe peee kipindi cha mwendazake walibebwa vibaka na majambazi wote mtaani kulitulia
Hakika ni kweli unachosema! Sema watu ukisema ukweli wanaona unaleta siasa.
Kuna sehem anaishi ndugu yangu alikuwa anaibiwa mchana tu,, ye katoka kafunga mlango vizuri. Wanafungua wanabeba. Wakikamatwa unakuta jioni wamerudi tena mtaani ndo ikawa system. Hebu fikiria hao hao vijana waliiba mchana wakakamatwa wakatoa wakarudisha vitu. Kurudisha wakaja wakaiba tena mchana kweupe. Fatilia hadi Leo. Lkn mtaana wanajitapa atatufanya nini. Alipoingia Magu wale vijana walikamatwa na hakuna aliyetoka. Watu wote wakawa wanaishi kwa amani.

Tunachosema suala la ulinzi ni jeshi la polisi na mamlaka zake.Sasa mama akiwa mpole watoto wanatumia mwanya huo kufanya yao waswahili tunasema panya akiondoka panya anatawala.
 
Alijitoa ??

Hujui alikua anavuta zaidi ya million 9 kwa mwezi bila makato?? Na bado akasema haimtoshi

Malazi bure, matibabu bure, ulinzi bure,chakula bure, ulinzi bure!
Yani kama tutaka tujisaidie tujikomboe tuwage tunafwata uhalisia wa mamb sio kwa sababu unamchukia mtu...
Kuna wakati wa hadithi na kushuhudia wenyewe ukiona hukumuelewa basi wewe ni kati ya wale wanajeshi walotumwa kumkamata Patrick Lumumba na kuuliwa kinyama ungeweza kufanya hivo kwake
Tuache siasa zisizo na msaad kwetu
 
Back
Top Bottom