Eyume Dedu
Member
- May 28, 2021
- 68
- 42
Mamb yalikua yanafanyika lakin tofauti na sasa ifike hatua msijitoe ufahamu hata na sisi tupo nchini tuliishi kwa amani sio kama sasa nakumbuka mtaani kwetu ilikua tunakabwa hadi mchana peupe peee kipindi cha mwendazake walibebwa vibaka na majambazi wote mtaani kulituliaUjambazi ulikuwa ukifanyika awamu zote brother, tena kuna hadi wakuu wa wilaya na mikoa waikuwa wakifanya huo ujambazi awamu iliyopita huku wakilindwa na Rais
Sijaingiza siasa yeyote ile katka hili, labda mtizamo wako tuWewe ndio unaingiza siasa
Wanajitoa fahamu mkuu Hawa viumbe mpk wanajitoa upofu.Mamb yalikua yanafanyika lakin tofauti na sasa ifike hatua msijitoe ufahamu hata na sisi tupo nchini tuliishi kwa amani sio kama sasa nakumbuka mtaani kwetu ilikua tunakabwa hadi mchana peupe peee kipindi cha mwendazake walibebwa vibaka na majambazi wote mtaani kulitulia
Anayezuia uhalifu ni vyombo vya dola hasa hasa jeshi la polisi.Waloshangilia kipindi mwendazake kwenda sasa tutawaona wizi utakithiri adi serikalini sio tuu mtaani. Yajayo yanafurahisha hii nchi bila ukali wa kujali maslahi mapana na usalama wa wanachi kuuweka mbele tutarudishwa hatua mia nyuma.
Ni bora uonekana katili kwa washenzi wachache kuliko kupoteza amani ya wananchi wengi mbaya zaidi naogopa inawezekana wengine wako wamevalia vazi la usalama
Nakusikitikia sana.Tena kipindi cha mwenda zake kilikua zaidi hadi MKUU W WILAYA ALIKUA ANA MILIKI GENGE LA MAJAMBAZI KWA KIVULI CHA OFISI YA UMA.
Zaidi ya upumbavu huna lolote la maana uliloandika. Chuki zimekujaa kwa Rais Samia.Kwenye uzi wangu huo kunasehemu nimekupa marking scheme, nayo hioni😃😃elimu, elimu, elimu
Kipindi chake walikua wanamuogopa mzew tofauti na sasa mama mpole mno mbn hivyo vyombo vya dola vilikuepo kabla yake lakin hatukukaa kwa amani lakin enzi zake kias flani kulituliaAnayezuia uhalifu ni vyombo vya dola hasa hasa jeshi la polisi.
Kuondoka kwa Magufuli hakwenda na IGP wala jeshi lake kwa ujumla.
Hivyo basi, tunategemea utendaji was polisi ubaki vile vile, vinginevyo watakuwa wanamhujumu Rais Samoa na kwa sababu hiyo afanye mabadiliko pindi aonapo kurejea kwa kiwango kikubwa cha uhalifu.
Hongera Sana,umeutendea heshima kubwa Sana Uzi huu.Anayezuia uhalifu ni vyombo vya dola hasa hasa jeshi la polisi.
Kuondoka kwa Magufuli hakwenda na IGP wala jeshi lake kwa ujumla.
Hivyo basi, tunategemea utendaji was polisi ubaki vile vile, vinginevyo watakuwa wanamhujumu Rais Samoa na kwa sababu hiyo afanye mabadiliko pindi aonapo kurejea kwa kiwango kikubwa cha uhalifu.
Hachukiwi na mtu ila awe mkali hili ni swala la wote tusifanye mzaha kwa kukwepa lawama tuilinde nchi yetu hilo ni jukumu la kila mmoja wetu... Zaidi ya upumbavu huna lolote la maana uliloandika. Chuki zimekujaa kwa Rais Samia.
Kwa hiyo unamaanisha IGP Siro na jeshi lake ni magoigoi yaliyomuogopa Magufuli?Kipindi chake walikua wanamuogopa mzew tofauti na sasa mama mpole mno mbn hivyo vyombo vya dola vilikuepo kabla yake lakin hatukukaa kwa amani lakin enzi zake kias flani kulitulia
Kikubwa mama awe mkali watu wafanye kazi kwa uhuru
And you still exposing your lunatic idiot again.?... Zaidi ya upumbavu huna lolote la maana uliloandika. Chuki zimekujaa kwa Rais Samia.
Kwan ndugu ukimpa mtu credit zake kuwa alifanya kazi nzuri ni kitatokea na mimi sijasema ni magoigoi ila vitengo vingi vilijua mzee ni mfwatiliaji wa mamb kuanzia chiniKwa hiyo unamaanisha IGP Siro na jeshi lake ni magoigoi yaliyomuogopa Magufuli?
Kigogo anachezea akili za watz sanaHapa ndipo great thinker nawategemea,siyo wapambe wa kigogo, diamond na mpambaz😃
Ni kweli kabisa.Kwan ndugu ukimpa mtu credit zake kuwa alifanya kazi nzuri ni kitatokea na mimi sijasema ni magoigoi ila vitengo vingi vilijua mzee ni mfwatiliaji wa mamb kuanzia chini
Mtu mwenye akili timamu asie na choyo atayaona haya
Asante kaka nadhani na wewe zimekufikia
Tatizo huwa wengi wanaongea mamb wanatutoa ni kama tunaishi sehemu tofautNi kweli kabisa.
Mkuu ni kweli haujui impact ya rais kwenye vyombo hivyo?? Unaweza kuwa na makamanda wenye weledi wa juu zaidi lakini rais akiwa goigoi hakuna kitu kitafanyika.Anayezuia uhalifu ni vyombo vya dola hasa hasa jeshi la polisi.
Kuondoka kwa Magufuli hakwenda na IGP wala jeshi lake kwa ujumla.
Hivyo basi, tunategemea utendaji was polisi ubaki vile vile, vinginevyo watakuwa wanamhujumu Rais Samoa na kwa sababu hiyo afanye mabadiliko pindi aonapo kurejea kwa kiwango kikubwa cha uhalifu
Na mzee alikua arembi alijitoa kweli kwa ajili yetu sisi watz lazima tujifunze kuwaunga mkono watu wanaojitoa maisha kwa aijili yetu ili tusiwafishe moyo wengine...Mkuu ni kweli haujui impact ya rais kwenye vyombo hivyo?? Unaweza kuwa na makamanda wenye weledi wa juu zaidi lakini rais akiwa goigoi hakuna kitu kitafanyika.
Rais anachoweza kufanya ni kuingiza maslahi binafsi au siasa katika vyombo hivyo.Mkuu ni kweli haujui impact ya rais kwenye vyombo hivyo?? Unaweza kuwa na makamanda wenye weledi wa juu zaidi lakini rais akiwa goigoi hakuna kitu kitafanyika.