Acha wauaneInasemwa kwamba asilimia kubwa ya raia wa Marekani hasa rednecks ni watupu sana kuhusiana na mambo ya nje ya taifa lao. Kwa hapa bongo wazungu wa aina hiyo, Ni kama wanafunzi wa wanaosoma shule ya msingi ya kijijini, sekondari ya kata, chuo cha kata na kuishia kufanya kazi maisha yao yote kwenye mkoa huo huo walioazaliwa.
View attachment 3305384
Hivi alishapataga mpaka Grammy?
Manigga QwameAcha wauane
Wabongo bwana....kweli makenge tuu. Sasa mnawaona wenzenu maboya wakati watoto wenu wanakunya vizuri kwa sababu ya vyoo walivyowapa wao
Hiyo sio sababu ya Kutokuwa na akili na kutowakosoaWabongo bwana....kweli makenge tuu. Sasa mnawaona wenzenu maboya wakati watoto wenu wanakunya vizuri kwa sababu ya vyoo walivyowapa wao
Unamtukania wapi mkuu 😂Mbona unawaonea wivu boss pambana na linchi la kingese la Tz kwanza 😁
Sasa unakosowa nini na wee huna akili bwana....yaani kwanza sie watz tufwate mkia kabisa sie ndio wajinga mpaka mbinguni wana channel apecial ya comdy wana tune in tz kucheki comedy zetu.Hiyo sio sababu ya Kutokuwa na akili na kutowakosoa
Tupo m.kun.duni mwa dunia bro. Huo ndio ukweliAfrica bado tuko nyuma Sana kiukweli
labda watoto wako kaka, mi bado sina mtotoWabongo bwana....kweli makenge tuu. Sasa mnawaona wenzenu maboya wakati watoto wenu wanakunya vizuri kwa sababu ya vyoo walivyowapa wao
Wadogo zakolabda watoto wako kaka, mi bado sina mtoto
mimi ndio mziwandaWadogo zako