Kuna taifa la magharibi lenye wazungu wengi wajinga kama Marekani ?

Kuna taifa la magharibi lenye wazungu wengi wajinga kama Marekani ?

Yote yanawezekana.

Hivi performance ya wanafunzi wa kimarekani kimasomo katika masomo ya geography na history ipoje ? Maana hawa jamaa michango yao Twitter,Quora na Reddit huwa inaniacha hoi hasa hawa jamaa wa MAGA ni burudani kweli.
nadhani hayo masomo hayapo kwenye mtaala wao mkuu.
 
Zionist imperialism wana zile akili za miaka 1990 kwamba usa inaweza kufanya kila kitu
 
Huyo boya kwa comment anadai kama china kazingua watauza India! India hawali ng'ombe!

Africa hatuwezi ku-import nyama kutoka US. Tunafuga wennyewe, afterall nyama kwetu ni luxury tu sio staple food!
 
Inasemwa kwamba asilimia kubwa ya raia wa Marekani hasa rednecks ni watupu sana kuhusiana na mambo ya nje ya taifa lao. Kwa hapa bongo wazungu wa aina hiyo, Ni kama wanafunzi wa wanaosoma shule ya msingi ya kijijini, sekondari ya kata, chuo cha kata na kuishia kufanya kazi maisha yao yote kwenye mkoa huo huo walioazaliwa.
View attachment 3305384
Maneno ya chuki dhidi yao na wewe umeyabeba hivyohivyo?
 
Back
Top Bottom