Kuna taifa la magharibi lenye wazungu wengi wajinga kama Marekani ?

Sema wamarekani wengi ni kama vyombo vyao vya habari vimewaharibu sana.
Labda wenyewe pia ndio wameviharibu vyombo vyao vya habari.
 
Kila nchi inawajinga ndio dunia ilivyo,
Ukiwa na population kubwa ndivyo namba ya wajinga inaongezeka.
 
Inasemwa kwamba asilimia kubwa ya raia wa Marekani hasa rednecks ni watupu sana kuhusiana na mambo ya nje ya taifa lao. Kwa hapa bongo wazungu wa aina hiyo, Ni kama wanafunzi wa wanaosoma shule ya msingi ya kijijini, sekondari ya kata, chuo cha kata na kuishia kufanya kazi maisha yao yote kwenye mkoa huo huo walioazaliwa.
View attachment 3305384
Maga hajakosea comment yake. Ni kweli Viongozi wa Africa wamezidi sana kuombaomba na kutokujali watu. Ombaomba maana yake anaukosefu, hivyo ananjaa.
 
Labda wenyewe pia ndio wameviharibu vyombo vyao vya habari.
Yote yanawezekana.

Hivi performance ya wanafunzi wa kimarekani kimasomo katika masomo ya geography na history ipoje ? Maana hawa jamaa michango yao Twitter,Quora na Reddit huwa inaniacha hoi hasa hawa jamaa wa MAGA ni burudani kweli.
 
Inasemwa kwamba asilimia kubwa ya raia wa Marekani hasa rednecks ni watupu sana kuhusiana na mambo ya nje ya taifa lao. Kwa hapa bongo wazungu wa aina hiyo, Ni kama wanafunzi wa wanaosoma shule ya msingi ya kijijini, sekondari ya kata, chuo cha kata na kuishia kufanya kazi maisha yao yote kwenye mkoa huo huo walioazaliwa.
View attachment 3305384
Hujui tu, marekani ndilo taifa ambalo linafanya mambo kwa kutumia akili saaana , Unaweza kuona kama ni ujinga ila badae utajikuta wewe ndo mjinga.
Marekanì ndiye anayeshikilia uchumi wa dunia pato lake la taifa ni dollar 30 trillions sasa ibadilishe kuwa pesa ya Tanzania unchanganyikiwe😄😄😄. Na wapo taktribani 320m

Uchini yenyewe ipo kwenye dolla 21 trillions kama GDP kwa wingi pia wapi kwenye 1.3 billions kwa hiyo hata per capita yao yaan pato la kila mmoja litakuwa dogo.
Usa wapo vizuri sana kwenye figisu za kiuchumi ndo maana mataifa mengi yanaogopa kuingia migogoro hiyo na USA

Kitu kingine USA sio taifa tu unalolijua wewe humo kuna Canada, Germany, Italy, France,Spain, Portugal, England, haya mataifa makubwa dunian yapo upande wake, Bado huogi tu kumbuka hatuna nyuklia hata moja USA peke yake ni karibu 5100 haya jumlisha na mataifa yanayomsapoti, Tumia ubongo
 
Maga hajakosea comment yake. Ni kweli Viongozi wa Africa wamezidi sana kuombaomba na kutokujali watu. Ombaomba maana yake anaukosefu, hivyo ananjaa.
Wewe nae ni MAGA kichwa maji

"There's India with $1 billion people" Ndio upuuzi gani huu ?

Ujinga zaidi ni kulifikiria soko la India kwa bidhaa ya nyama na ujinga mwingine ni kufikiri watu wanaoteswa na njaa wanaweza afford nyama za kimarekani
 
Hujui tu, marekani ndilo taifa ambalo linafanya mambo kwa kutumia akili saaana , Unaweza kuona kama ni ujinga ila badae utajikuta wewe ndo mjinga.
Marekanì ndiye anayeshikilia uchumi wa dunia pato lake la taifa ni dollar 30 trillions sasa ibadilishe kuwa pesa ya Tanzania unchanganyikiwe😄😄😄. Na wapo taktribani 320m

Uchini yenyewe ipo kwenye dolla 21 trillions kama GDP kwa wingi pia wapi kwenye 1.3 billions kwa hiyo hata per capita yao yaan pato la kila mmoja litakuwa dogo.
Usa wapo vizuri sana kwenye figisu za kiuchumi ndo maana mataifa mengi yanaogopa kuingia migogoro hiyo na USA

Kitu kingine USA sio taifa tu unalolijua wewe humo kuna Canada, Germany, Italy, France,Spain, Portugal, England, haya mataifa makubwa dunian yapo upande wake, Bado huogi tu kumbuka hatuna nyuklia hata moja USA peke yake ni karibu 5100 haya jumlisha na mataifa yanayomsapoti, Tumia ubongo
MAGA na akili ni kama ugomvi wa paka na panya ni ngumu kukaa sehemu moja.
 
Yote yanawezekana.

Hivi performance ya wanafunzi wa kimarekani kimasomo katika masomo ya geography na history ipoje ? Maana hawa jamaa michango yao Twitter,Quora na Reddit huwa inaniacha hoi hasa hawa jamaa wa MAGA ni burudani kweli.
Screenshot_20250415-215731_X.jpg
 
Wewe nae ni MAGA kichwa maji

"There's India with $1 billion people" Ndio upuuzi gani huu ?

Ujinga zaidi ni kulifikiria soko la India kwa bidhaa ya nyama na ujinga mwingine ni kufikiri watu wanaoteswa na njaa wanaweza afford nyama za kimarekani
India Wahindu wengi pia hata hawali ng'ombe ambaye ni mmojawapo wa miungu yao.
 
Ndio mimi nashangaa hii inanikumbusha kuna waziri mmoja alimpa mapendekezo Putin watanue soko la mbuzi katoriki mpaka Indonesia Putin alicheka sana
 
Kwa mitizamo, fikra na maudhu.i, Yoda you're a REDNECk 😉

A. Redneck aliyechangamka na ujinga.
 
nakazia, kuna jamaa yangu alikuwa na rafiki yake mus, siku akawa anamtajia sijui mto mississipi sijui manini nini ya huko us, yule mus akamwambia "mbona umejaza matakataka meng kichwani ambayo hayakusaidii chochote".
😂😂😂😂😂 Wenzetu wajinga wa USA wanaprograms kichwani za AI, maendeleo miaka 100 mbele na space miaka ijayo waende kuishi mars ila sisi werevu humu tunaprograms za kususia uchaguzi,miaka mitano tena kwa mama na dini gani ya kweli na ipi sio ya kweli, uku tukipigwa spana ya nguvu na maisha ya joto la jehanamu tukijipepea na magazeti pasipo na unafuu uku atujui kesho tunakula nini sijui?
 
Inasemwa kwamba asilimia kubwa ya raia wa Marekani hasa rednecks ni watupu sana kuhusiana na mambo ya nje ya taifa lao. Kwa hapa bongo wazungu wa aina hiyo, Ni kama wanafunzi wa wanaosoma shule ya msingi ya kijijini, sekondari ya kata, chuo cha kata na kuishia kufanya kazi maisha yao yote kwenye mkoa huo huo walioazaliwa.
View attachment 3305384
Huwa nikiwa natazama habari youtube napenda sana kusoma comments. Nlichogundua Americans wako brain washed sana kuhusu china. Na si US tu ha nchi kama UK. Wenzao waliobahatika kufika china ndiyo utakuta comments zao wanawambia china kwa miundo mbinu na usalama ni kama something from a movie na ni tofauti na wanavyodhani ni years ahead of the US. Wao hapo wanajibu china bots.
Pia hawana wanalojua nje ya kujua kwamba US ni super power, africa we are starving. Sasa hivi kuna channel nyingi za westeners wanaokwenda china na kuonyesha maendeleo na wanashangaa sana mambo wanayokutana nayo. Wanasema they feel safe wakiwa china kuliko hata kwao.
Juzi kuna mwingereza alikuwa huko wakampeleka kwenye kiwanda cha kuunda magari ni kikubwa balaa na kila sekunde 73, linatoka gari. Akasema ametembelea viwanda vingi anadhani hakuna njia yoyote wataweza kushindana na mchina.
Akapewa exclusive ya kushoot uwanja mpya wa ndege ambao ulikuwa unazinduliwa siku 2 mbele. Akashangaa moindombinu, robots yani.
US wanaishi kwenye pride yao ndiyo maana Vince alisema chinese peasants so kusema sisi huku twafa njaa ni kawaida tu.
 
Baada ya kupitia comment mbili tatu hapo juu, nimegundua ya kua kuna MAGA wa mbarali, wao wamekua brainwashed vya kutosha kiasi cha kuihusudu marekan mpaka kufikia stage ya kujihisi nao ni part ya marekani, wao wako tayari kuitukana nchi yao ilmrad tu waitete marekani, ukiisema chochote kibaya marekani unawaumiza kabsa kihisia, wao huamini marekani ni kuu na ina maarifa mengi hivyo basi kwasababu tu wanajihisi wao pia ni wamarekani basi nao ni wakuu na wenye maarifa mengi, ukileta hoja ya kuudogosha ukuu na umaarifa mwingi wa marekani basi umeudogosha ukuu wao mkuu na umaarifa wao mwingi, basi hureact kama MAGA wengine wowote wanavyoreact.
Jiwe gizan, litakalompata anaruhusiwa kupiga kelele.
 
Back
Top Bottom