Kuna taifa la magharibi lenye wazungu wengi wajinga kama Marekani ?


Ukiona wenzako matajiri wajinga na wewe masikini jiukize kwanza inawezekana mjinga ni wewe
 
Hakuna Wamarekani chizi??
Chizi unawezaje kumjadili chini...Ebu angalia ulipo sasa ana unachoongea kama kuna uhusiano.
Ulitakuwa ukae chini ujadili utapiamlo wa kwenu hapo.
 
Ukiona wenzako matajiri wajinga na wewe masikini jiukize kwanza inawezekana mjinga ni wewe
nakazia, kuna jamaa yangu alikuwa na rafiki yake mus, siku akawa anamtajia sijui mto mississipi sijui manini nini ya huko us, yule mus akamwambia "mbona umejaza matakataka meng kichwani ambayo hayakusaidii chochote".
 
Ndiyo nchi MASIKINI SANA DUNIANI!

Sisi ndio MATAJIRI WA DUNIA!
 
Sema wamarekani wengi ni kama vyombo vyao vya habari vimewaharibu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…