Kuna takwimu lazima watu wa kanda ya ziwa lazima wawepo

Shinyanga haijawahi kuwa Kanda ya ziwa mzeeiya,shinyanga Iko Kanda ya magharibi ambapo Kuna tabora,kigoma,katavi na shinyanga yenyewe,unaelewa maana ya Kanda ya ziwa!!???
kanda ya ziwa inajumuisha mikoa ya Mwanza,Shinyanga,Kagera,Mara,Geita na Simiyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…