Kuna tatizo gani Nigeria ? Kutoka Naira 1 = Shilingi 5 za kitanzania mpaka shilingi 1.8 na bado inazidi kuporomoka.

Kuna tatizo gani Nigeria ? Kutoka Naira 1 = Shilingi 5 za kitanzania mpaka shilingi 1.8 na bado inazidi kuporomoka.

gearbox

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
563
Reaction score
1,768
Ni kipi hasa kinaendelea huko kwa kina Oga, Tulishazoea kwa muda mrefu Naira moja ni shilingi 5.x ila kwa sasa imeshuka mpaka 1.79

1717072337550.png
 
Ni kipi hasa kinaendelea huko kwa kina Oga, Tulishazoea kwa muda mrefu Naira moja ni shilingi 5.x ila kwa sasa imeshuka mpaka 1.79

View attachment 3003703
Nikiiangalia Nigeria, huwa napata tabu Sana, sie watu weusi tuna shida gani? Inaongoza kwa kuzalisha mafutq Africa, lakini yenyewe bidhaa za, mafutq inaangiza kutoka nje! Kisa,haina uwezo, wa kitekinolojia wa, kuchimba yenyewe, ikabidi iwape TOTAL, na BP, na, Shevlon,!
Yaani katika watu 200M, kwa Miaka yote, hawawezi, kununua mitwmbo na tekinolojia ya kuchimba mafuta!?
Nchi kama Iran, Pakistan, India zilipata tekinolojia ya siraha za, nuclear, kwa, figisu figisu, kuiba, kudukua, nk,kwa nini Sisi hatufanyi hivyo kwa tekinolojia muhimu kama ya kuchimba mafuta?
 
Inategemea na positioning yenu kama hamtegemei kila kitu kutoka ughaibuni na ni wazalishaji sio kila kitu wanunuzi mtashangilia pesa yenu ikiwa bei rahisi....

Ila ndio hivyo sisi ambao hata kupikia tu tunataka tuwe tunaagiza gesi kutoka nje tutaendelea kuwa watumwa wa dollar...., Ingawa hao wapuuzi nao ni wazembe nchi ambayo ilikuwa moja ya exporters wakubwa wa mafuta Africa bado wanaagiza mafuta kwa ajili ya matumizi yao wenyewe.....
 
Back
Top Bottom