Kuna tatizo gani Nigeria ? Kutoka Naira 1 = Shilingi 5 za kitanzania mpaka shilingi 1.8 na bado inazidi kuporomoka.

Inaonekana TUNUBU anakunywa kahawa Bado na wanacheza bao CHURA KIZIWI huku wakiwa na wapambe wao pembeni Kina Doto Magari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…