Kuna tatizo kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Unazungumzia tabia za baadhi ua wanawake.

Ninarudia, hata hao vigori mnaooa wanazaa na wanaume wengine huku mnaishi nao.

Tabia ni tabia tu, hata uoe asiyezaa. Tunagonga wake za watu ambao waliolewa hawajazaa na kwa harusi nzito na za gharama.
 
Acha kumfundisha mtu ujinga mkuu yaani aishi kwa KUSUBIRI BAHATI?
 
Watu wanatoa ushauri mzuri humu hadi raha, jf ni zaidi ya kijiwe.

Nami nakazia hapohapo, single mother haolewi atakusumbua mpaka utakoma. Hapo huyo ni mke wa jamaa we unamshikia tu akija atakugongea waziwazi au kwa kujificha.
 

oyaa mzee njoo PM mkuu tujadili hili jambo
 
Dah nime kata tamaa kabisa
Kila nikimcheki demu Uyu . dah na jinsi ushauri Munao nipa na muonea uruma

Maana nipo naye apa ajui nini kinacho ni fanye niwe mnyonge ana fikiri ni majukumu tu kumbe mwenzio nimepigwa na comment za jm mpaka na muona kama nyuki mbele ya macho yangu tu

Na fanya ni kimuona alivyo alafu ni mkimbie si atajitowa duniani Uyu kweli
Mmmmmmm ni makubwa
 
watu wengine kichechefu kweli,inaweza kumtokea hata mwanao
 
Hizi points zimekaa kizembe kwa haraka haraka ila ni misumali mitupu
 
Sema astaghafill-llah
 
Ni sawa tu,tofauti ni kwamba IPI bora kati ya nguo ya mtumba na ya dukani!?
 
Mbona uko mbali sana,mfano rahisi ni hapa bongo,Diamond alivyo na pesa zake anayefaidi ni Anko Shamte
 
Kama ulishampa mimba unaomba Ushauri wa nini kwahio mzani ukilemea kwenye kumuacha utamumuacha na mimba yako? We umeshalikoroga hapo Cha kufanya fanya mpango ishi na mkeo maana hapo mtakaemuweka matatizoni ni huyo mtoto atakaezaliwa kama hamtokuwa na maelewano.... Wewe ni mwanaume kuwa na maamuzi muombe MUNGU akuongoze hao wazazi hawatokuwa na kinyongo na wewe milele Ila kiukweli inapokuja suala la kuoa mwanamke mwenye mtoto Kuna mtihani mbele, kubali kuukabili.
 
Hapo pesa ndio inayoongea,chezea pesa
 
Hallo ndugu zangu

Kuna jambo ambalo linanitatiza kidogo naomba ushauri kutoka kwenu
Ndugu yangu hawa ndugu bwana hiyo story ya Mrundo wala usiiamini kabisa. Ni cover story ya kukuaminisha baba wa mtoto yupo n hi ya mbali.

Wasikilize wazazi wako utakuja kujuta na kukumbuka ushauri wa hapa jf. OA AMBAYE HANA MTOTO.
Kwa ushauri zaidi nenda Kigoma kakar kasulu au Kibondo au uvinza kwa mwezi ukifanya reseach ya kina utabadili maamuzi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…