Kuna tatizo kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Joka jeusi njoo ndugu yako anahitaji ushauri huku!
Kwisha!
 
Mzee wa Chelsea ... Pole ulilalama sana humu . Mpe uzoefu
Mkuu najua situation aliyonayo jamaa kwa sasa ila kama atanielewa nilichokiandika basi kwa namna moja ama nyingine maisha yake yatakuwa na mwanga mzuri hata miaka ijayo ila akikaidi atapoteza muda , mwanamke anaemtaka , pamoja na pesa.
 
Na Mondi nae?
 
Kuna
kuna kauzi ulitoa juzi kwamba mtu wa tatu kakuta video za uchi za mkewe kwa jamaa mwingine kumbe ndio wewe mwenyewe.
 
Endelea Kujikaanga Mkuu...!! Ukitaka kuamini Hack simu yake kwa muda wa miezi 3 chunguza mawasiliano yake ukiona kuna namba anachat nayo sana kuhusu mtoto jua ndo jamaa.

Maana ushampa na mimna mdada wa watu huwezi sema utamkimbia umuachie mtoto wako awe single maza wa watoto wawili kiukweli utakosea sana.

Mwisho kabisa USIOE SINGLE MAZA LABDA KAMA UMEONA KABURI LA MWANAUME ALIEMZALISHQ NA CHETI CHA KIFO.
 
Kama mnapendana na kuelewana vizuri muoe tuu.

Kuna wengi wameoa "singo maza" na msisha yanaenda vizuri saana.

Hawa wengine ndo ambao ndoa zao hazidumu siku hizi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 

Waambie hao
 
Nimekulia familia ambayo mzazi mmoja alikuja na watoto, amani ilikua ndogo sana nakumbuka.
Nina watoto ila nimeachana na mke wangu, suala la kuoa na kuzaa tena naogopa sana. Nitakaa hivi hivi nisiwachanganye wanangu.

Ushampa mimba, mwoe tu. Kupanga ni kuchagua Kuna siku huyo mtoto atamtafuta baba yake hata umpe mapenzi vipi.

And trust me, hao ni wazazi kuna namna wanawasiliana ila hujui na wataonaonana tu One day iwe msibani au nyakati muhimu za mtoto wao, na watakaa high table wewe ukiwa nyuma unawaangalia.
 
Hallo ndugu zangu

Kuna jambo ambalo linanitatiza kidogo naomba ushauri kutoka kwenu
Usimkimbie mtoto maana huyo ni ndugu yako, usimsaliti ndugu yako, Mkuu umefuata moyo wako ila umeisahau akili yako nyuma, ndo maana unashindwa hata kufanya maamuzi wewe kama wewe.
[emoji1] Comments za unazosoma hapa ndo zinakufanya uchanganyikiwe kabisa, hadi unabaki kuzubaa tu.

Cha kufanya nenda ifate akili yako ulipoiacha halafu ufanye maamuzi, kuna mambo ukishirikisha sana watu utakuja kufanya maamuzi ambayo yatakuja kuwa majuto katika maisha yako ya baadaye, nina uhakika unayeongea sio wewe halisi, Jitafakari those days when you have self-acceptance, how do you make decisions.

Huyo ndo alikuwa wewe halisi, sio huyu anayejikanyaga kanyaga hapa unashindwa kufanya maamuzi, Sidhani kipindi ulipokuwa na akili timamu, ulikuwa na hayo mawazo ya kuoa mke wa mtu. Binafsi naungana na wazazi wako.

N.B Usisahau kuleta mrejesho mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…