Kuna tatizo lolote Kimantiki kwa Asiyeoa au Asiyeolewa Kukushauri mambo ya Maisha yako ya Ndoa na Changamoto unazozipata?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na ni nani aliyewadanganya Waswahili kuwa ili uwe Mshauri mzuri wa Jambo fulani basi ni lazima uwe una Uzoefu nalo kwa Wewe mwenyewe kukupata?

Tanzania mpaka sasa ( japo wapo wanaojitahidi ) ila bado sijaona Mchambuzi Mahiri wa Mpira wa Miguu kama Dk. Leakey Abdallah ( mwana Liverpool FC Mwenzangu ) na cha Kushangaza huyu Jamaa hana Historia yoyote ile ya Kucheza Mpira wa Miguu ambao anauchambua Kiufundi kuliko hata Mchambuzi Mchezaji wa zamani na Kocha Shadrack Nsajigwa anavyofanya akiwa ama Redioni au Runingani Kiuchambuzi.

Na msichokijua tu ni kwamba Watazamaji wa Mechi waliojukwaani wanaona vizuri sana Mchezo unavyokwenda kuliko hata Wachezaji wenyewe wanaocheza Uwanjani kwa wakati huo.

Na ukimpata Mshauri kama GENTAMYCINE mshukuru mno Mwenyezi Mungu kwani utakuwa hujapata tu Mshauri Tukuka wa Jambo linalokusibu bali pia utakuwa umepata Bahati ya Kipekee ya kuwa na Mtu mwenye Maono Makali, Mbarikiwa halafu ni "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Kiasili.

Halafu Arovera Mtani wangu waambie Watu wa Kabila lako wawe na Adabu sawa? Yaani sijui nina bahati mbaya na Makabila yote yenye Utani na Sisi Wazanaki kutoka Mkoani Mara.

Yaani Wahaya wana matatizo, Wanyiramba na Wanyaturu wana matatizo, Waha wana matatizo, Warangi wana matatizo, Wakara wana matatizo na Wanyamwezi nao ndiyo kabisaaaa wana matatizo.

Hivi nyie / ninyi Watani zangu Tajwa hapa akina Arovera ni kwanini hamjastaarabika kama Sisi Wazanaki ambao tulianza kuwaonyesha Ustaarabu kwa kuwaleteeni huu Uhuru kutoka kwa Mkoloni Muingereza huku Mkoa wetu Tukuka wa Mara ( Musoma ) ndiyo ukiwa unaongoza kwa kuwa na Maendeleo kuliko Mikoa yenu?

Watani zangu mpo......?
 
Kuoa na ndoa ni social construct ambayo elimu yako ipo kwa wanadamu kabla hawajaoa au kuolewa hivyo pia kuna taaluma na kufahamu mambo yahusuyo kuoa au kuolewa kabla ushauri haufungamani na sharti la ao au olewa kwanza maana kila mtu ana upekee katika uumbaji na changamoto anazokutana nazo, wake na waume hawafanani, watarajiwa hawafanani pia
 
Wa zanaki maana yake umekuja na nini? Umeleta nini cha maana hadi tukupokee uwe sehemu ya jamii yetu ama uwe miongoni mwetu kwanzia sasa?
 
Wa zanaki ?ni swali sio kabila, hao ni watusi ama mchanganyiko wa wahutu na watusi na hata wakizungumza na vipua vyao baadhi ni vya kitusi
 
Wa zanaki maana yake umekuja na nini? Umeleta nini cha maana hadi tukupokee uwe sehemu ya jamii yetu ama uwe miongoni mwetu kwanzia sasa?
Nasikia Watani zangu Watajwa hapo juu na nyie mnatamani sana tu muwe Wazanaki ila haiwezekani.
 
Na ni nani aliyewadanganya Waswahili kuwa ili uwe Mshauri mzuri wa Jambo fulani basi ni lazima uwe una Uzoefu nalo kwa Wewe mwenyewe kukupata?

Tanzania mpaka sasa ( japo wapo wanaojitahidi ) ila bado sijaona Mchambuzi Mahiri wa Mpira wa Miguu kama Dk. Leakey Abdallah ( mwana Liverpool FC Mwenzangu ) na cha Kushangaza huyu Jamaa hana Historia yoyote ile ya Kucheza Mpira wa Miguu ambao anauchambua Kiufundi kuliko hata Mchambuzi Mchezaji wa zamani na Kocha Shadrack Nsajigwa anavyofanya akiwa ama Redioni au Runingani Kiuchambuzi.

Na msichokijua tu ni kwamba Watazamaji wa Mechi waliojukwaani wanaona vizuri sana Mchezo unavyokwenda kuliko hata Wachezaji wenyewe wanaocheza Uwanjani kwa wakati huo.

Na ukimpata Mshauri kama GENTAMYCINE mshukuru mno Mwenyezi Mungu kwani utakuwa hujapata tu Mshauri Tukuka wa Jambo linalokusibu bali pia utakuwa umepata Bahati ya Kipekee ya kuwa na Mtu mwenye Maono Makali, Mbarikiwa halafu ni "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Kiasili.

Halafu Arovera Mtani wangu waambie Watu wa Kabila lako wawe na Adabu sawa? Yaani sijui nina bahati mbaya na Makabila yote yenye Utani na Sisi Wazanaki kutoka Mkoani Mara.

Yaani Wahaya wana matatizo, Wanyiramba na Wanyaturu wana matatizo, Waha wana matatizo, Warangi wana matatizo, Wakara wana matatizo na Wanyamwezi nao ndiyo kabisaaaa wana matatizo.

Hivi nyie / ninyi Watani zangu Tajwa hapa akina Arovera ni kwanini hamjastaarabika kama Sisi Wazanaki ambao tulianza kuwaonyesha Ustaarabu kwa kuwaleteeni huu Uhuru kutoka kwa Mkoloni Muingereza huku Mkoa wetu Tukuka wa Mara ( Musoma ) ndiyo ukiwa unaongoza kwa kuwa na Maendeleo kuliko Mikoa yenu?

Watani zangu mpo......?
“Jifunze kwa waliofanikiwa “

Kushauri unaweza shauri lakini ushauri ni invalid.
Marekani wana sera kama huna hula huwezi gombea urais ,Utafanyia nn taifa kama kutengeneza kipato chako tu umeshindwa
 
Wazanaki, waliwatapeli mababu zetu mifugo, walitoka Rwanda bila kitu, wakawa wanapita wanakusanya Kwa kiwafanganya mababu zetu eti mfalme anataka mifugo, mara paap wakatokomea mto mara, wanyiramba wakafuatilia mifugo yao wakatandikwa vita takatifu wakakimbilia singida ukimbizini, taarifa zikasambaa wenzenu washatandikwa huko, makabila ikabidi yaombe urafiki upya, Kwa sherehe mbalimbali na kupata mvinyo kidogo, nitaendelea na wahaya na waha kesho,
 
Kwa jamii zetu usipoa Kuna namna wanakuchukulia powa, wapo wanaofika mbali kabisa na kuamini ambae hajaoa hana majukumu
 
Huwa naamini watu wanaovuliana nguo hawapaswi kushauliwa na mtu wa tatu.
Wanaovuliana nguo na kubanduana wanapaswa kuamua wenyewe masuala yanayowahusu.
 
Kataa ushauri Kwa changamoto yako mpya.lakini kama ni hizi hizi tunazo zijua wewe chukua ushauri kama unakufaa hata kichaa akikupa uvuke mpaka wa shida yako.
 
Kuna uzoefu wa kuona ukiwa nje kupitia watu na uzoefu kuingia frontline dharau zako zitakuponza ukikutana na jamaa kandambil zimeisha mpaka visigino vimesagika huku suruali imefunga na kama za viatu kama mkanda na anaongea huku akiwa anapiga miayo ming alafu mtu huyo akawa anauza kitabu cha kupata utajir usidharau nunua
 
Itasaidia Nini kwenye changamoto za ndoa
 
Wazanaki, waliwatapeli mababu zetu mifugo, walitoka Rwanda bila kitu, wakawa wanapita wanakusanya Kwa kiwafanganya mababu zetu eti mfalme anataka mifugo, mara paap wakatokomea mto mara, wanyiramba wakafuatilia mifugo yao wakatandikwa vita takatifu wakakimbilia singida ukimbizini, taarifa zikasambaa wenzenu washatandikwa huko, makabila ikabidi yaombe urafiki upya, Kwa sherehe mbalimbali na kupata mvinyo kidogo, nitaendelea na wahaya na waha kesho,
Nimecheka sana Mtani wangu. Naisubiria hiyo ya Waha na Wahaya Kesho.
 
Back
Top Bottom