TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,150
Anaupigia mwingi mpaka unamwagika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanalipa au wanalipwa mkuuHata wale watalii wanalipwa Kwa shilingi
Hapana tulioambiwa jpm ndo aliyeua huyu wa sasa ndo mkombozi wa hiyo sectaKwa sasa hivi pesa ya kigeni hususani dola haipatikani hata kwenye mabenki ambayo sekta zetu binafsi zinafanya nazo biashara. Mambo yanakwama inapofika kuagiza mahitaji kutoka nje ambavyo ni sehemu ya utekelezaji wa kazi yoyote au mradi. Hata dola 1000 kupata ni tatizo.
Je, kitu gani kinaendelea? Mimi na umri wangu mkubwa tumepitia changamoto nyingi za kiuchumi toka enzi za Mwalimu lakini jambo kama hili halikuwahi kutokea. Sasa tunaelekea wapi? Mbona hata hakutolewi tamko kuelezea hili jambo? Je, waziri wa fedha haoni kwamba hili ni tatizo?
Miaka michache ya nyuma na hususan wakati wa Hayati Magufuli tulikuwa tunapewa taarifa kuwa nchi yetu ina akiba ya kutosha na wakawa wanataja hata kipindi ambacho kama itokee dhiki ya namna gani, kwa akiba iliyopo tungeweza kumudu kuagiza nje kwa miezi kadhaa. Sasa hii akiba imeenda wapi?
Jamani tuzidi kujitafakari, kuna tatizo mahali.
Uhaba wa Dola ni Dunia nzima. Solution tafuta Currency nyengine, watu wanahangaika kutumia currency zao sasa hivi kwenye international trade.
Hicho ni kichaka tu kwa watu wavivu .nakuhakikishia ukiamisha federal reserve ya marekani hapa kwetu baada ya miezi 6.kutokuwa na uhaba wa hiyo dollars tenaDola kukosekana ni ishara ya nchi kukosa exports kwenye biashara ya kimataifa na sheria ngumu za kudhibiti dola.
Ukiwa na bidhaa za ku export na sheria nzuri, dola zipo nyingi tu soko la kimataifa zinatafuta bidhaa.
Watu wanatafuta jinsi ya kupata Konyagi na Dodoma wine, lakini hawazioni katika soko la kimataifa.
Kwa nini? Watanzania hawajajipanga katika exports.
Halafu wanalia dola hazipo.
Dola zitakuwapo vipi wakati kila kitu mna import, mpaka toothpicks?
Hamjui kuwa hivyo vitu mnavyo import ndiyo dola hizo mnatoa nje?
Dola itakuwapo vipi wakati exports ni ndogo sana?
Any way you cut it.Hicho ni kichaka tu kwa watu wavivu .nakuhakikishia ukiamisha federal reserve ya marekani hapa kwetu baada ya miezi 6.kutokuwa na uhaba wa hiyo dollars tena
Wanalipa au wanalipwa mkuu
Wanalipa au wanalipwa mkuu
Dola zote zimechotwa na CCM kwa manufaa yao binafsi.......zingine amepewa Bashite azitumie kuzurura nchi nzima na zingine zimehifadhwa kwenye akaunti za CCM nje na ndani ya nchi kwa ajili ya kuiba uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025.Kwa sasa hivi pesa ya kigeni hususani dola haipatikani hata kwenye mabenki ambayo sekta zetu binafsi zinafanya nazo biashara. Mambo yanakwama inapofika kuagiza mahitaji kutoka nje ambavyo ni sehemu ya utekelezaji wa kazi yoyote au mradi. Hata dola 1000 kupata ni tatizo.
Je, kitu gani kinaendelea? Mimi na umri wangu mkubwa tumepitia changamoto nyingi za kiuchumi toka enzi za Mwalimu lakini jambo kama hili halikuwahi kutokea. Sasa tunaelekea wapi? Mbona hata hakutolewi tamko kuelezea hili jambo? Je, waziri wa fedha haoni kwamba hili ni tatizo?
Miaka michache ya nyuma na hususan wakati wa Hayati Magufuli tulikuwa tunapewa taarifa kuwa nchi yetu ina akiba ya kutosha na wakawa wanataja hata kipindi ambacho kama itokee dhiki ya namna gani, kwa akiba iliyopo tungeweza kumudu kuagiza nje kwa miezi kadhaa. Sasa hii akiba imeenda wapi?
Jamani tuzidi kujitafakari, kuna tatizo mahali.
Ingieni roadKwa sasa hivi pesa ya kigeni hususani dola haipatikani hata kwenye mabenki ambayo sekta zetu binafsi zinafanya nazo biashara. Mambo yanakwama inapofika kuagiza mahitaji kutoka nje ambavyo ni sehemu ya utekelezaji wa kazi yoyote au mradi. Hata dola 1000 kupata ni tatizo.
Je, kitu gani kinaendelea? Mimi na umri wangu mkubwa tumepitia changamoto nyingi za kiuchumi toka enzi za Mwalimu lakini jambo kama hili halikuwahi kutokea. Sasa tunaelekea wapi? Mbona hata hakutolewi tamko kuelezea hili jambo? Je, waziri wa fedha haoni kwamba hili ni tatizo?
Miaka michache ya nyuma na hususan wakati wa Hayati Magufuli tulikuwa tunapewa taarifa kuwa nchi yetu ina akiba ya kutosha na wakawa wanataja hata kipindi ambacho kama itokee dhiki ya namna gani, kwa akiba iliyopo tungeweza kumudu kuagiza nje kwa miezi kadhaa. Sasa hii akiba imeenda wapi?
Jamani tuzidi kujitafakari, kuna tatizo mahali.
Ile takataka ya Dodoma nani aitake?Dola kukosekana ni ishara ya nchi kukosa exports kwenye biashara ya kimataifa na sheria ngumu za kudhibiti dola.
Ukiwa na bidhaa za ku export na sheria nzuri, dola zipo nyingi tu soko la kimataifa zinatafuta bidhaa.
Watu wanatafuta jinsi ya kupata Konyagi na Dodoma wine, lakini hawazioni katika soko la kimataifa.
Kwa nini? Watanzania hawajajipanga katika exports.
Halafu wanalia dola hazipo.
Dola zitakuwapo vipi wakati kila kitu mna import, mpaka toothpicks?
Hamjui kuwa hivyo vitu mnavyo import ndiyo dola hizo mnatoa nje?
Dola itakuwapo vipi wakati exports ni ndogo sana?
Don't you let your belt untighten, the wind wich has to blow might unseat you.GOOD TIMES ARE NOT AROUND THE CORNER....
Be Prepared to live off your fat
A word is enough for the wise...
Mkuu,Ile takataka ya Dodoma nani aitake?
Tatizo lipo kwetu Sisi sio serikaliKwa sasa hivi pesa ya kigeni hususani dola haipatikani hata kwenye mabenki ambayo sekta zetu binafsi zinafanya nazo biashara. Mambo yanakwama inapofika kuagiza mahitaji kutoka nje ambavyo ni sehemu ya utekelezaji wa kazi yoyote au mradi. Hata dola 1000 kupata ni tatizo.
Je, kitu gani kinaendelea? Mimi na umri wangu mkubwa tumepitia changamoto nyingi za kiuchumi toka enzi za Mwalimu lakini jambo kama hili halikuwahi kutokea. Sasa tunaelekea wapi? Mbona hata hakutolewi tamko kuelezea hili jambo? Je, waziri wa fedha haoni kwamba hili ni tatizo?
Miaka michache ya nyuma na hususan wakati wa Hayati Magufuli tulikuwa tunapewa taarifa kuwa nchi yetu ina akiba ya kutosha na wakawa wanataja hata kipindi ambacho kama itokee dhiki ya namna gani, kwa akiba iliyopo tungeweza kumudu kuagiza nje kwa miezi kadhaa. Sasa hii akiba imeenda wapi?
Jamani tuzidi kujitafakari, kuna tatizo mahali.
Sasa hapo ndio sekta binafsi zinakufa?Kwa sasa hivi pesa ya kigeni hususani dola haipatikani hata kwenye mabenki ambayo sekta zetu binafsi zinafanya nazo biashara. Mambo yanakwama inapofika kuagiza mahitaji kutoka nje ambavyo ni sehemu ya utekelezaji wa kazi yoyote au mradi. Hata dola 1000 kupata ni tatizo.