Kuna tatizo mahali, dola hakuna sekta binafsi zinakufa

Hapana tulioambiwa jpm ndo aliyeua huyu wa sasa ndo mkombozi wa hiyo secta
 
Hicho ni kichaka tu kwa watu wavivu .nakuhakikishia ukiamisha federal reserve ya marekani hapa kwetu baada ya miezi 6.kutokuwa na uhaba wa hiyo dollars tena
 
Hicho ni kichaka tu kwa watu wavivu .nakuhakikishia ukiamisha federal reserve ya marekani hapa kwetu baada ya miezi 6.kutokuwa na uhaba wa hiyo dollars tena
Any way you cut it.

Fundamentals ni exports/ imports pamoja na government policy.

Hayo maneno ya utabiri usiopimika kama ya Sheikh Yahya Hussein mimi sina interest nayo maana yamekaa kishabiki zaidi na hayapimiki.
 
Mbona mimi huwa naweka hela kwenye visa card kama tsh na ninanunua vitu online nikikatwa kama usd?
 
Dola zote zimechotwa na CCM kwa manufaa yao binafsi.......zingine amepewa Bashite azitumie kuzurura nchi nzima na zingine zimehifadhwa kwenye akaunti za CCM nje na ndani ya nchi kwa ajili ya kuiba uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025.
 
Ingieni road
 
Ile takataka ya Dodoma nani aitake?
 
How can you maintain a national reserve with one-sided trade?


Angalia jinsi tunaagiza sisi hatuna kitu cha kupeleka nje hata kufika 70% import vs 30% export
 
GOOD TIMES ARE NOT AROUND THE CORNER....

Be Prepared to live off your fat

A word is enough for the wise...
Don't you let your belt untighten, the wind wich has to blow might unseat you.
The hardship\suffering Pro Max in the country is becoming unbearable for ordinary Tanzanians as the high cost of foodstuffs, transportation, goods, and services have made life difficult for many Bongoles.
 
Ile takataka ya Dodoma nani aitake?
Mkuu,

Kuna watu wanaitafuta sana nje hawaipati.

Ni wewe tu hujui wine halafu una tabia ya kudharau vitu vya nyumbani.

Na Watanzania wengi wako kama wewe.

Ndiyo maana hamu export.

Halafu uchumi unakuwa mbovu, mnakosa dollars.

Mnatafuta mchawi wenu nani.
 
Tatizo lipo kwetu Sisi sio serikali
Ili pesa za kigeni ziwe nyingi ni lazima uuzaji bidhaa nje uwe mkubwa
Serikali ndiyo mtumiaji mkubwa wa pesa za kigeni
Serikali haizalishi pesa za kigeni
ni wakati wa Nyerere serikali yake ndiyo ilishika njia zote kuu za uchumi serikali za siku hizo ni watumiaji wakubwa wa pesa za kigeni
kupitia miradi inayo Jenga Bwawa la umeme/Reli ya standard gage/ Ujenzi wa daraja la Busisi/ununuzi wa ndege/magali ya serikali NK
Kama wananchi katika shughuri zao asilimia kubwa ni kununua bidhaa za biashara toka nje Hali inakua mbaya zaidi
Maoni yangu tusiogope Kufungua mipaka kuuza maazao nje Kwa masharti ya anayetaka kuuza maazao/Bidhaa aje na pesa za kigeni baada ya biashara yake
sio wale wanaopeleka mazao Kisha kuludi na makontena ya pipi midori NK
Shida za nchi hii ni Sisi wananchi tutazitatua
 
Sasa hapo ndio sekta binafsi zinakufa?

Soma hizi takwimu hapa 👇

View: https://twitter.com/TheChanzo/status/1757024321271222617?t=zy8TA5_mQ_bQ3tjgKz8cXA&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…