Kuna tatizo mahali kwenye nafasi ya uongozi nchi hii. Je, kafara la Lindi linahusika?

Kwetu mnapasingizia...
Walichagua Tabora wachawi wake wakajitetea zindiko hilo litahusisha majini mengi na huko Tabora hakuna maji mengi.Tanga wakagoma wakasema mazindiko mengi makubwa yalifanyikia kwao ikabakia Lindi wapo karibu na bahari na madhara yake ni mkoa kuwa masikini kuliko na wananchi zindiko lilipofanyika kuwa na akili au uelewa mdogo.

Walizindika Kwa kutumia shimo kubwa linalozunguka na majini mengi mnooo na waliweka aina na species zote za mazao,mimea,wanyama, binadamu ,madini ,samaki bila kusahau yaani kila kitu.Hata mzee wao mchawi mkuu aliyeshiriki zindiko kuu la nchi la kwanza la Bagamoyo mzee Mfaume Golo Tumbo alifariki

Zindiko la kwanza la Bagamoyo waliohusika ni hawa
1.Forojo Ganze 'Master' huyu alikuwa le top hakuna mwingine ndiyo aliingia shimo la kuzimu kuongea na wakuu na baadae alikufa akiwa na namba 115 kiganjani.
2.Mfaume Golo Tumbo (wa Lindi)
3.Sheikh Yahya Hussein (alikuwa na miaka 29 muda huo mchawi huyu)
4.Shaibu Kalole Mtiga
5. Primus Mubanga Julius'alikuwa mtaalam mkuu wa kuelewa lugha za majini'
Chama cha kichawi kilimpelekesha JK Nyerere mno na mawaziri wakuu walipigwa pini kuwa Marais au umeona Waziri mkuu Alishinda urais?!
 
Walichagua Tabora wachawi wake wakajitetea zindiko hilo litahusisha majini mengi na huko Tabora hakuna maji mengi.Tanga wakagoma wakasema mazindiko mengi makubwa yalifanyikia kwao ikabakia Lindi wapo karibu na bahari na madhara yake ni mkoa kuwa masikini kuliko na wananchi zindiko lilipofanyika kuwa na akili au uelewa mdogo.

Walizindika Kwa kutumia shimo kubwa linalozunguka na majini mengi mnooo na waliweka aina na species zote za mazao,mimea,wanyama, binadamu ,madini ,samaki bila kusahau yaani kila kitu.Hata mzee wao mchawi mkuu aliyeshiriki zindiko kuu la nchi la kwanza la Bagamoyo mzee Mfaume Golo Tumbo alifariki

Zindiko la kwanza la Bagamoyo waliohusika ni hawa
1.Forojo Ganze 'Master' huyu alikuwa le top hakuna mwingine ndiyo akiingia shimo la kuzimu kuongea na wakuu

Chama cha kichawi kilimpelekesha JK Nyerere mno na mawaziri wakuu walipigwa pini kuwa Marais au umeona Waziri mkuu Alishinda urais?![emoji848][emoji848][emoji848][emoji2984][emoji2827][emoji2827]
 
Hakuna taifa lolote duniani lililosimama imara bila nguvu za mkuu wa anga! Kuanzia matambiko mpaka makafara na vyama vya kishetani...Hivi vyote vimejenga madhabahu zao kwenye kila ardhi ya kila taifa. Wananchi wake wana dini na imani zao lakini mataifa yamesimikwa kwenye hizi madhabahu viapo na makafara

Tanzania nj taifa kama mataifa mengine duniani, nayo ina makafara na madhabahu zake za kuifanya nchi itawalike iheshimike na iwe na 'stability' kwenye kila nyanja kuanzia kiuchumi, kijamii, kimaono mpaka kiulinzi nk

Kuna makafara ya kuilinda Tanzania yanatajwatajwa sana.. Kafara la Bagamoyo na kafara la Lindi..! Kafara la Bagamoyo linaelezewa kwa ufasaha na wahusika wake wanajulikana.. Shida ipo kwenye usiri mkubwa unaotawala kwenye kafara la Lindi

Hili limebaki kuwa fumbo na tetesi isiyothibitishwa popote...wanaolijua ni wachache na hulisimulia kwa tahadhari kubwa sana! Lina nini ndani yake hili?

Kafara la Bagamoyo ni la moto..na kiongozi wake ni Mzee mchawi marehemu Forojo Ganze na hiki ndicho alikisema kabla ya kukata roho

"Baba, sisi tunataka kuwasha mwenge na kuuweka juu ya mlima kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu, ulete tumaini mahala pasipo na tumaini, faraja palipo na huzuni, tumaini pasipo na tumaini, upendo penye chuki na heshima palipo na dharau"

Baada ya kutamka hayo mbele ya Mwl.Nyerere, Ganze alikata roho na ndipo ukaanzishwa Mwenge wa Uhuru. Kinachonishangaza hapa ni kile kipengele kisemacho"UMULIKE NJE YA MIPAKA YETU"..... Inamaana ndani ya nchi tubaki gizani kama tulivyo sasa?

Hli kafara la Bagamoyo tunaweza kuliita kafara la mambo ya nje na lile la Lindi tunaweza kuliita la mambo ya ndani...sasa hapa ndio penye shida...ni kafara la mambo ya ndani na limebaki ndani na kuwa siri kubwa

Mwalimu Nyerere Mchonga meno kwa hakika anayajua vema makafara yote mawili na miiko yake na pengine ndio maana katika tawala zote tangu uhuru ni utawala wake pekee ndio ukifanikiwa kwa kiwango cha juu kwenye
Kuweka misingi sahihi ya uongozi, uwajibikaji na uzalendo
Kuweka misingi sahihi kijamii, kisiasa na kiulinzi
Kuweka misingi sahihi ya kimtazamo na kimaono
Mipango endelevu na dira sahihi tangu tulipoanzia, tulipofikia na tunakoenda..

Baada ya hapo waliofuatia wote kila mtu alikuja na MAGAZIJUTO YAKE na sarakasi zake
Baada ya hapo kila aliyeingia alianza vizuri lakini hakuchelewa kuharibu.. Kama si kipindi cha kwanza basi cha pili cha uongozi wake
Baada ya hapo waliofuatia wote waliingia kwa upole na unyenyekevu lakini mara wakageuka wajivuni, wababe, na baadhi yao dharau kujikweza na kujimwambafai kwingi...bila kusahau vitisho na ugiligili mwingine mwingi
Baada ya hapo wengine wote watakanguliza maslahi binafsi, ya ndugu zao, jamaa zao na watu wote waliokuwa na maslahi nao

Mambo yanazidi kuharibika na pengine hawaoni wametiwa upofu.. Huu ugiligili sasa ni mpaka kwa viongozi wanaowateua kuwasaidia majukumu ya kiutendaji...sasa hivi kiongozi akipewa kipaza sauti aongee mbele ya makamera asipotoa boko basi atatoa kituko cha karne ama kuongea yasiyowezekana
Matamko ni mengi mno
Maelekezo ni mengi mno
Makatazo ni mengi mno
Maonyo ni mengi mno
Yani haya ni mengi mno mpaka yanapishana barabarani na kupigana vibega
Kuna tatizo kubwa la kiuongozi na hili lina mizizi mirefu tangu ang'atuke mwalimu... Je kwa mtazamo wa kiroho ni lile kafara la Lindi?
Wakati utaongea... Hebu tuupe muda..!
Upuuzi kama huu ndo unaturudisha nyuma..mijitu imekaliwa kuwaza uchawii mara miujizaa sijui ili ufanikiwe unapaswaa utoe kafara ni upuuzi wa hali ya juu.. na watu wa aina hii ndo wavivu hawataki kufanya kaz hawatak kujishughulisha na kazi kwa ajili ya maendeleo ya familia zao kutwa kucha kushinda kwa waganga..
Nchi yenye wachawi na waganga wengi ni tz africa mashark ukitembea njian unakutana na vibao vya waganga wa kienyeji..aisee hii nchi sijui shida iko wapi? Ni lin tukaachana na mawazo ya kijinga kuhusu mafanikio na uchawii?? Diamond kijana wa watu katoboa wanamuita firimasoni..yaan ukiwa na hela bongo watu wanakuona mchawi mara umeua mtoto wako..yaan ni mentality ya kishenzi sana hii..ebu tuacheni kuwaza mambo ya kijinga tujikite kwenye mambo ya msingi kuijenga nch japo nchi yenyewe lipo lipo hata halielewek linaenda wapi.
 
Walichagua Tabora wachawi wake wakajitetea zindiko hilo litahusisha majini mengi na huko Tabora hakuna maji mengi.Tanga wakagoma wakasema mazindiko mengi makubwa yalifanyikia kwao ikabakia Lindi wapo karibu na bahari na madhara yake ni mkoa kuwa masikini kuliko na wananchi zindiko lilipofanyika kuwa na akili au uelewa mdogo.

Walizindika Kwa kutumia shimo kubwa linalozunguka na majini mengi mnooo na waliweka aina na species zote za mazao,mimea,wanyama, binadamu ,madini ,samaki bila kusahau yaani kila kitu.Hata mzee wao mchawi mkuu aliyeshiriki zindiko kuu la nchi la kwanza la Bagamoyo mzee Mfaume Golo Tumbo alifariki

Zindiko la kwanza la Bagamoyo waliohusika ni hawa
1.Forojo Ganze 'Master' huyu alikuwa le top hakuna mwingine ndiyo akiingia shimo la kuzimu kuongea na wakuu
2.Mfaume Golo Tumbo (wa Lindi)
3.Sheikh Yahya Hussein (alikuwa na miaka 29 muda huo mchawi huyu)
4.Shaibu Kalole Mtiga
5. Primus Mubanga Julius'alikuwa mtaalam mkuu wa kuelewa lugha za majini'
Chama cha kichawi kilimpelekesha JK Nyerere mno na mawaziri wakuu walipigwa pini kuwa Marais au umeona Waziri mkuu Alishinda urais?!
Kuna hivi vifo pia vinahusishwa na kafara la Lindi
Mkuu wa nchi
Mtendaji mkuu
Mlinzi wa sheria
Mkuu wa walinzi
 
Hivi huyo mkuu wa anga ni nani? Hapa kuna jirani yangu kila akisali anasema ANAMTEKA MKUU WA ANGA. Yaani leo anamteka, kesho anamteka tena wala hatusikii lini huyo mkuu wa anga amekimbia mateka
Mkuu wa anga ni aina za majini au fallen angels wanaozuia maombi yetu yasimfikie Mungu. Ni jini mkubwa na wenzie (wakuu wa anga). Kumbuka Lusifa ana wenzie 6 Malaika waasi na wao na wengine ni theluthi (moja ya tatu) ya Malaika na walipoasi walishushwa chini ni matrilioni ya viumbe vya kiroho vinavyotutesa.
Nitataja Hao 6 na baadae ila tukumbuke ulimwengu wa roho una madaraja 7 nayo ni physical realm (ulimwengu wa nyama) huu wa kibinadamu ,pili ni spiritual huko ndiko mizimu ,wachawi ,misukule,majini wa kati ,vibwengo n.k. yaani tofauti na WA nyama ,tatu ni Luciferian hawa ni majini wakubwa ambao wanaitawala dunia na watu wakubwa duniani wakipata ukuu wa spiritual realm wanaenda huku ili wawe wakuu kidunia kama vile tajiri wa dunia, kucontrol teknolojia na Sayansi za dunia,magonjwa na tiba kidunia,nne ni Fallen Angels realm yaani Lucifer na kaka zake 5 na dada Yao mmoja hawa ndiyo wameleta dini za uongo zote kuanzia uhindu, budha,tao,Shinto,Mashahidi wa Yehova na zingine pia wasioamini Mungunitaongelea siku ingine na maovu yote .Tano ni Angels realm, SITA ni Prophets and seers realm yaani manabii na waonaji Mungu huwaonyesha hawa vingi vinavyotokea .Daraja la 7 la Mungu ni la juu huko Mungu ana wenye uhai wanne na Wazee 24 yaani 12 wa zamani enzi za agano la kale na 12 wale wanafunzi wa Yesu ila Yuda Iskarioti hayumo.
 
Kuna hivi vifo pia vinahusishwa na kafara la Lindi
Mkuu wa nchi
Mtendaji mkuu
Mlinzi wa sheria
Mkuu wa walinzi
Funguka zaidi Mshana hata Kwa codes mbona mie naweka nyama za kutosha au hupendi watu wajue hebu muda unao weka madini humu watu waamke nchi inapelekwa kiroho na ndiyo maana kimwili no delivery
 
Upuuzi kama huu ndo unaturudisha nyuma..mijitu imekaliwa kuwaza uchawii mara miujizaa sijui ili ufanikiwe unapaswaa utoe kafara ni upuuzi wa hali ya juu.. na watu wa aina hii ndo wavivu hawataki kufanya kaz hawatak kujishughulisha na kazi kwa ajili ya maendeleo ya familia zao kutwa kucha kushinda kwa waganga..
Nchi yenye wachawi na waganga wengi ni tz africa mashark ukitembea njian unakutana na vibao vya waganga wa kienyeji..aisee hii nchi sijui shida iko wapi? Ni lin tukaachana na mawazo ya kijinga kuhusu mafanikio na uchawii?? Diamond kijana wa watu katoboa wanamuita firimasoni..yaan ukiwa na hela bongo watu wanakuona mchawi mara umeua mtoto wako..yaan ni mentality ya kishenzi sana hii..ebu tuacheni kuwaza mambo ya kijinga tujikite kwenye mambo ya msingi kuijenga nch japo nchi yenyewe lipo lipo hata halielewek linaenda wapi.
Unajichanganya Kwa kuwa hatuushabikii ila tunasema Kuna vyama vya Siri na watu wao wameleta laana Kwa nchi kabla ya uhuru na 1990 .

Haya mazindiko ya nchi sio Tanzania tu Bali nchi zote duniani ziliyafanya hata hao super power Marekani.Tunachoongea ni kuwa hayo mazindiko yameparalayse nchi tuna Kila rasilimali ila tunakuwa masikini na wanyonge tu.Tunatafuta way forward .Kuhusu Diamond ni Kweli Kijana anatumia nguvu hizo na ana nyota ya mtu mmoja na mentor wake ni mzee mmoja mkubwa sana kwenye hizo kazi ana degree nyingi alimuinitiate.
 
Funguka zaidi Mshana hata Kwa codes mbona mie naweka nyama za kutosha au hupendi watu wajue hebu muda unao weka madini humu watu waamke nchi inapelekwa kiroho na ndiyo maana kimwili no delivery
Dive kwanza asante kwa madini yako..[emoji1545]nimeongeza kitu kwenye maarifa yangu ya kiroho..nimeshaingia kazini sina utulivu ngoja nikitulia nitafanya hivyo hakika kama itakuwa hajapatikana wa kutoa assist
 
Unajichanganya Kwa kuwa hatuushabikii ila tunasema Kuna vyama vya Siri na watu wao wameleta laana Kwa nchi kabla ya uhuru na 1990 .

Haya mazindiko ya nchi sio Tanzania tu Bali nchi zote duniani ziliyafanya hata hao super power Marekani.Tunachongea ni kuwa hayo mazindiko yameparalse nchi tuna Kila rasilimali ila tunakuwa masikini na wanyonge tu.Tunatafuta way forward .Kuhusu Diamond ni Kweli Kijana anatumia nguvu hizo na ana nyota ya mtu mmoja na mentor wake ni mzee mmoja mkubwa sana kwenye hizo kazi ana degree nyingi alimuinitiate.
Hayaa sasa yale yalee..mkuu ebu toka kwenye hayo mawazo bas. Ebu jikitr kufanya kaz kwa bidii na umuombe MUNGU utafanikiwa.
Ikiwa kama kweli hii nchi inalaana mbona MUNGU yupo na ndo anaweza kutuondolea hizo laana.
Kama kweli laanza ipo, mbona kila kukicha viongoz wa dini zote wanakusanyika na kuliombea taifa. Na wengine wanaitisha maombi hadi ya kufunga kwa ajili ya kuondosha laana katika nchi. Mbona kila mwaka tunafunga mwez wa ramadhani kumuomba Mwenyezi Mungu atuondolee kila makosa na laana.
Kama tunafanya maombi iweje bas uendelee kuamni kuwa nchi ina laana? Kama laana iliingia nchini kwa makafara na maombi ya wachawii, bas laana imeshatoka pia kwa maombi na sadaka za wanaomcha MUNGU. Ebu tuachane na mawazo hayo..laana ni yako mtu binafs unapoacha kufanya kaz kisha unalaumu wengine kwa kufeli kwako hiyo ndo laana sasa.
 
Tukumbuke mfalme wa dunia ni shetani na ana namna zake kupoteza watu. Ana kuzimu yake chini ya bahari ,maziwa,mito wanakoenda kupewa utajiri,umaarufu ,nguvu za kutawala.Ila ana muda ukiisha ni hukumu na sio kwamba wanaokufa na dhambi hawapati adhabu wanapata.

Kuzimu real ni huko kunakowaka moto na ndiyo wafu wanateseka huko wakisuburia hukumu ya mwisho.Mafundisho ya uongo ya kuhusu Mahurulaini na Purgatory (toharani), imani za kishetani, mafundisho ya vyama vya Siri na kuundaa ulimwengu kuja kwenye New World Order kupitia mfumo wa kidunia yaani kiutawala, elimu na Burudani zote,Sayansi na teknolojia yanaendelea kufundishwa.

Mwili unakufa ila roho haifi hata milele, yaani mwili (body) kati kati Kuna nafsi ( soul) na then roho (spirit). Majini ,mapepo ,wakuu wa anga na viumbe vyote vichafu au fallen angels hawana miili wanategemea kutumia ya wanadamu.
 
Hayaa sasa yale yalee..mkuu ebu toka kwenye hayo mawazo bas. Ebu jikitr kufanya kaz kwa bidii na umuombe MUNGU utafanikiwa.
Ikiwa kama kweli hii nchi inalaana mbona MUNGU yupo na ndo anaweza kutuondolea hizo laana.
Kama kweli laanza ipo, mbona kila kukicha viongoz wa dini zote wanakusanyika na kuliombea taifa. Na wengine wanaitisha maombi hadi ya kufunga kwa ajili ya kuondosha laana katika nchi. Mbona kila mwaka tunafunga mwez wa ramadhani kumuomba Mwenyezi Mungu atuondolee kila makosa na laana.
Kama tunafanya maombi iweje bas uendelee kuamni kuwa nchi ina laana? Kama laana iliingia nchini kwa makafara na maombi ya wachawii, bas laana imeshatoka pia kwa maombi na sadaka za wanaomcha MUNGU. Ebu tuachane na mawazo hayo..laana ni yako mtu binafs unapoacha kufanya kaz kisha unalaumu wengine kwa kufeli kwako hiyo ndo laana sasa.
Unachoongea upo kwenye upofu nisingependa mada iingie kwenye malumbano ya kidini.Nafunga mjadala kati yangu na wewe.
 
Tukumbuke mfalme wa dunia ni shetani na ana namna zake kupoteza watu. Ana kuzimu yake chini ya bahari ,maziwa,mito wanakoenda kupewa utajiri,umaarufu ,nguvu za kutawala.Ila ana muda ukiisha ni hukumu na sio kwamba wanaokufa na dhambi hawapati adhabu wanapata.

Kuzimu real ni huko kunakowaka moto na ndiyo wafu wanateseka huko wakisuburia hukumu ya mwisho.Mafundisho ya uongo ya kuhusu Mahurulaini na Purgatory (toharani) yanaendelea kufundishwa.

Mwili unakufa ila roho haifi hata milele, yaani mwili (body) kati kati Kuna nafsi ( soul) na then roho (spirit). Majini ,mapepo ,wakuu wa anga na viumbe vyote vichafu au fallen angels hawana miili wanategemea kutumia ya wanadamu.
 
Tukumbuke mfalme wa dunia ni shetani na ana namna zake kupoteza watu. Ana kuzimu yake chini ya bahari ,maziwa,mito wanakoenda kupewa utajiri,umaarufu ,nguvu za kutawala.Ila ana muda ukiisha ni hukumu na sio kwamba wanaokufa na dhambi hawapati adhabu wanapata.

Kuzimu real ni huko kunakowaka moto na ndiyo wafu wanateseka huko wakisuburia hukumu ya mwisho.Mafundisho ya uongo ya kuhusu Mahurulaini na Purgatory (toharani) yanaendelea kufundishwa.

Mwili unakufa ila roho haifi hata milele, yaani mwili (body) kati kati Kuna nafsi ( soul) na then roho (spirit). Majini ,mapepo ,wakuu wa anga na viumbe vyote vichafu au fallen angels hawana miili wanategemea kutumia ya wanadamu.
Mwili unakufa ila roho haifi hata milele, yaani mwili (body) kati kati Kuna nafsi ( soul) na then roho (spirit). Majini ,mapepo ,wakuu wa anga na viumbe vyote vichafu au fallen angels hawana miili wanategemea kutumia ya wanadamu.[emoji1752][emoji1548][emoji1545]
 
Unajichanganya Kwa kuwa hatuushabikii ila tunasema Kuna vyama vya Siri na watu wao wameleta laana Kwa nchi kabla ya uhuru na 1990 .

Haya mazindiko ya nchi sio Tanzania tu Bali nchi zote duniani ziliyafanya hata hao super power Marekani.Tunachongea ni kuwa hayo mazindiko yameparalse nchi tuna Kila rasilimali ila tunakuwa masikini na wanyonge tu.Tunatafuta way forward .Kuhusu Diamond ni Kweli Kijana anatumia nguvu hizo na ana nyota ya mtu mmoja na mentor wake ni mzee mmoja mkubwa sana kwenye hizo kazi ana degree nyingi alimuinitiate.
Huyo mchawi wa diamond anapatikana wapi?
Watu hawajamgundua waende kupanga foleni kwake?
 
Hayaa sasa yale yalee..mkuu ebu toka kwenye hayo mawazo bas. Ebu jikitr kufanya kaz kwa bidii na umuombe MUNGU utafanikiwa.
Ikiwa kama kweli hii nchi inalaana mbona MUNGU yupo na ndo anaweza kutuondolea hizo laana.
Kama kweli laanza ipo, mbona kila kukicha viongoz wa dini zote wanakusanyika na kuliombea taifa. Na wengine wanaitisha maombi hadi ya kufunga kwa ajili ya kuondosha laana katika nchi. Mbona kila mwaka tunafunga mwez wa ramadhani kumuomba Mwenyezi Mungu atuondolee kila makosa na laana.
Kama tunafanya maombi iweje bas uendelee kuamni kuwa nchi ina laana? Kama laana iliingia nchini kwa makafara na maombi ya wachawii, bas laana imeshatoka pia kwa maombi na sadaka za wanaomcha MUNGU. Ebu tuachane na mawazo hayo..laana ni yako mtu binafs unapoacha kufanya kaz kisha unalaumu wengine kwa kufeli kwako hiyo ndo laana sasa.
Usilolijua utateseka nalo..ulimwengu una siri kubwa sana..your too little to understand them.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom