Kuna tatizo mahali kwenye nafasi ya uongozi nchi hii. Je, kafara la Lindi linahusika?

Kwetu mnapasingizia...
Walichagua Tabora wachawi wake wakajitetea zindiko hilo litahusisha majini mengi na huko Tabora hakuna maji mengi.Tanga wakagoma wakasema mazindiko mengi makubwa yalifanyikia kwao ikabakia Lindi wapo karibu na bahari na madhara yake ni mkoa kuwa masikini kuliko na wananchi zindiko lilipofanyika kuwa na akili au uelewa mdogo.

Walizindika Kwa kutumia shimo kubwa linalozunguka na majini mengi mnooo na waliweka aina na species zote za mazao,mimea,wanyama, binadamu ,madini ,samaki bila kusahau yaani kila kitu.Hata mzee wao mchawi mkuu aliyeshiriki zindiko kuu la nchi la kwanza la Bagamoyo mzee Mfaume Golo Tumbo alifariki

Zindiko la kwanza la Bagamoyo waliohusika ni hawa
1.Forojo Ganze 'Master' huyu alikuwa le top hakuna mwingine ndiyo aliingia shimo la kuzimu kuongea na wakuu na baadae alikufa akiwa na namba 115 kiganjani.
2.Mfaume Golo Tumbo (wa Lindi)
3.Sheikh Yahya Hussein (alikuwa na miaka 29 muda huo mchawi huyu)
4.Shaibu Kalole Mtiga
5. Primus Mubanga Julius'alikuwa mtaalam mkuu wa kuelewa lugha za majini'
Chama cha kichawi kilimpelekesha JK Nyerere mno na mawaziri wakuu walipigwa pini kuwa Marais au umeona Waziri mkuu Alishinda urais?!
 
Walizindika Kwa kutumia shimo kubwa linalozunguka na majini mengi mnooo na waliweka aina na species zote za mazao,mimea,wanyama, binadamu ,madini ,samaki bila kusahau yaani kila kitu.Hata mzee wao mchawi mkuu aliyeshiriki zindiko kuu la nchi la kwanza la Bagamoyo mzee Mfaume Golo Tumbo alifariki
 
Chama cha kichawi kilimpelekesha JK Nyerere mno na mawaziri wakuu walipigwa pini kuwa Marais au umeona Waziri mkuu Alishinda urais?![emoji848][emoji848][emoji848][emoji2984][emoji2827][emoji2827]
 
Upuuzi kama huu ndo unaturudisha nyuma..mijitu imekaliwa kuwaza uchawii mara miujizaa sijui ili ufanikiwe unapaswaa utoe kafara ni upuuzi wa hali ya juu.. na watu wa aina hii ndo wavivu hawataki kufanya kaz hawatak kujishughulisha na kazi kwa ajili ya maendeleo ya familia zao kutwa kucha kushinda kwa waganga..
Nchi yenye wachawi na waganga wengi ni tz africa mashark ukitembea njian unakutana na vibao vya waganga wa kienyeji..aisee hii nchi sijui shida iko wapi? Ni lin tukaachana na mawazo ya kijinga kuhusu mafanikio na uchawii?? Diamond kijana wa watu katoboa wanamuita firimasoni..yaan ukiwa na hela bongo watu wanakuona mchawi mara umeua mtoto wako..yaan ni mentality ya kishenzi sana hii..ebu tuacheni kuwaza mambo ya kijinga tujikite kwenye mambo ya msingi kuijenga nch japo nchi yenyewe lipo lipo hata halielewek linaenda wapi.
 
Kuna hivi vifo pia vinahusishwa na kafara la Lindi
Mkuu wa nchi
Mtendaji mkuu
Mlinzi wa sheria
Mkuu wa walinzi
 
Hivi huyo mkuu wa anga ni nani? Hapa kuna jirani yangu kila akisali anasema ANAMTEKA MKUU WA ANGA. Yaani leo anamteka, kesho anamteka tena wala hatusikii lini huyo mkuu wa anga amekimbia mateka
Mkuu wa anga ni aina za majini au fallen angels wanaozuia maombi yetu yasimfikie Mungu. Ni jini mkubwa na wenzie (wakuu wa anga). Kumbuka Lusifa ana wenzie 6 Malaika waasi na wao na wengine ni theluthi (moja ya tatu) ya Malaika na walipoasi walishushwa chini ni matrilioni ya viumbe vya kiroho vinavyotutesa.
Nitataja Hao 6 na baadae ila tukumbuke ulimwengu wa roho una madaraja 7 nayo ni physical realm (ulimwengu wa nyama) huu wa kibinadamu ,pili ni spiritual huko ndiko mizimu ,wachawi ,misukule,majini wa kati ,vibwengo n.k. yaani tofauti na WA nyama ,tatu ni Luciferian hawa ni majini wakubwa ambao wanaitawala dunia na watu wakubwa duniani wakipata ukuu wa spiritual realm wanaenda huku ili wawe wakuu kidunia kama vile tajiri wa dunia, kucontrol teknolojia na Sayansi za dunia,magonjwa na tiba kidunia,nne ni Fallen Angels realm yaani Lucifer na kaka zake 5 na dada Yao mmoja hawa ndiyo wameleta dini za uongo zote kuanzia uhindu, budha,tao,Shinto,Mashahidi wa Yehova na zingine pia wasioamini Mungunitaongelea siku ingine na maovu yote .Tano ni Angels realm, SITA ni Prophets and seers realm yaani manabii na waonaji Mungu huwaonyesha hawa vingi vinavyotokea .Daraja la 7 la Mungu ni la juu huko Mungu ana wenye uhai wanne na Wazee 24 yaani 12 wa zamani enzi za agano la kale na 12 wale wanafunzi wa Yesu ila Yuda Iskarioti hayumo.
 
Kuna hivi vifo pia vinahusishwa na kafara la Lindi
Mkuu wa nchi
Mtendaji mkuu
Mlinzi wa sheria
Mkuu wa walinzi
Funguka zaidi Mshana hata Kwa codes mbona mie naweka nyama za kutosha au hupendi watu wajue hebu muda unao weka madini humu watu waamke nchi inapelekwa kiroho na ndiyo maana kimwili no delivery
 
Unajichanganya Kwa kuwa hatuushabikii ila tunasema Kuna vyama vya Siri na watu wao wameleta laana Kwa nchi kabla ya uhuru na 1990 .

Haya mazindiko ya nchi sio Tanzania tu Bali nchi zote duniani ziliyafanya hata hao super power Marekani.Tunachoongea ni kuwa hayo mazindiko yameparalayse nchi tuna Kila rasilimali ila tunakuwa masikini na wanyonge tu.Tunatafuta way forward .Kuhusu Diamond ni Kweli Kijana anatumia nguvu hizo na ana nyota ya mtu mmoja na mentor wake ni mzee mmoja mkubwa sana kwenye hizo kazi ana degree nyingi alimuinitiate.
 
Funguka zaidi Mshana hata Kwa codes mbona mie naweka nyama za kutosha au hupendi watu wajue hebu muda unao weka madini humu watu waamke nchi inapelekwa kiroho na ndiyo maana kimwili no delivery
Dive kwanza asante kwa madini yako..[emoji1545]nimeongeza kitu kwenye maarifa yangu ya kiroho..nimeshaingia kazini sina utulivu ngoja nikitulia nitafanya hivyo hakika kama itakuwa hajapatikana wa kutoa assist
 
Hayaa sasa yale yalee..mkuu ebu toka kwenye hayo mawazo bas. Ebu jikitr kufanya kaz kwa bidii na umuombe MUNGU utafanikiwa.
Ikiwa kama kweli hii nchi inalaana mbona MUNGU yupo na ndo anaweza kutuondolea hizo laana.
Kama kweli laanza ipo, mbona kila kukicha viongoz wa dini zote wanakusanyika na kuliombea taifa. Na wengine wanaitisha maombi hadi ya kufunga kwa ajili ya kuondosha laana katika nchi. Mbona kila mwaka tunafunga mwez wa ramadhani kumuomba Mwenyezi Mungu atuondolee kila makosa na laana.
Kama tunafanya maombi iweje bas uendelee kuamni kuwa nchi ina laana? Kama laana iliingia nchini kwa makafara na maombi ya wachawii, bas laana imeshatoka pia kwa maombi na sadaka za wanaomcha MUNGU. Ebu tuachane na mawazo hayo..laana ni yako mtu binafs unapoacha kufanya kaz kisha unalaumu wengine kwa kufeli kwako hiyo ndo laana sasa.
 
Tukumbuke mfalme wa dunia ni shetani na ana namna zake kupoteza watu. Ana kuzimu yake chini ya bahari ,maziwa,mito wanakoenda kupewa utajiri,umaarufu ,nguvu za kutawala.Ila ana muda ukiisha ni hukumu na sio kwamba wanaokufa na dhambi hawapati adhabu wanapata.

Kuzimu real ni huko kunakowaka moto na ndiyo wafu wanateseka huko wakisuburia hukumu ya mwisho.Mafundisho ya uongo ya kuhusu Mahurulaini na Purgatory (toharani), imani za kishetani, mafundisho ya vyama vya Siri na kuundaa ulimwengu kuja kwenye New World Order kupitia mfumo wa kidunia yaani kiutawala, elimu na Burudani zote,Sayansi na teknolojia yanaendelea kufundishwa.

Mwili unakufa ila roho haifi hata milele, yaani mwili (body) kati kati Kuna nafsi ( soul) na then roho (spirit). Majini ,mapepo ,wakuu wa anga na viumbe vyote vichafu au fallen angels hawana miili wanategemea kutumia ya wanadamu.
 
Unachoongea upo kwenye upofu nisingependa mada iingie kwenye malumbano ya kidini.Nafunga mjadala kati yangu na wewe.
 
 
Mwili unakufa ila roho haifi hata milele, yaani mwili (body) kati kati Kuna nafsi ( soul) na then roho (spirit). Majini ,mapepo ,wakuu wa anga na viumbe vyote vichafu au fallen angels hawana miili wanategemea kutumia ya wanadamu.[emoji1752][emoji1548][emoji1545]
 
Huyo mchawi wa diamond anapatikana wapi?
Watu hawajamgundua waende kupanga foleni kwake?
 
Usilolijua utateseka nalo..ulimwengu una siri kubwa sana..your too little to understand them.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…