Kuna tatizo mahali kwenye nafasi ya uongozi nchi hii. Je, kafara la Lindi linahusika?

Nyie waongo watupu. Lindi sio mkoa masikini kuliko yote TZ. Yaani hata darasa la 7 anapata hilo swali. Wewe inaonekana ndio wale wale unafaulu kwa madesa.

sababu za mikoa mingi ya pwani kuwa masikini ndio utakuwa hujui kabisa
Ujui kitu
 

Alitumia rasilimali za nchi eti kusaidia ukombozi wa nchi nyingine, hata hizo nchi ziko wapi!?
 
Jamaa aliyeshiriki matambiko yote kaeleza vyema na nini kifanyike Ili kuikomboa nchi dhidi ya maagano ya kishetani.
Huyu alikuwa ni mwenyekiti wa wachawi tanzania kwa sasa ameokoka ameyaacha yote ana muhubiri Kristo.Huyu jamaa ni masta kwenye mambo ya ulimwengu wa roho.
Ana clip nyingi Sana anafundisha anaitwa Shehe Omari Mnyeshani amesoma elimu zote uchawi na uganga kufundishwa na wa darasani na pia amewahi kuwa mkuu wa chuo cha uchawi na uganga nchini.
 
Dah kumbe mimi bado sana ila nashukuru nami nimeshatoka huko
 
Nimeipata clip isikilizie kwa mtiririko kuanzia party 13 katikati hadi part 17 kaeleza Siri nyingi Sana za nchi kabla ya UHURU,asili ya mwenge, matambiko, maagano,na jinsi ya kuikomboa nchi.
Ngoja nitulie tunaweza kuihamisha kwenye kalamu
 
Inasikitisha sana uchawi na matamko ni laana mbaya sana, na ninafikiri wazee wote wa matambiko karibia waishe bila kutoa codes za kuondoa Hilo tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…