Dive
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 895
- 1,489
Lengo lilikuwa nchi itawalike kirahisi, uongo wa shetani eti nchi ingestawidhumuni ya zindiko hili ilikua ni nin,yan kwa mfano kitu gani kisitupate? kutawaliwa tena? kuwa nchi yenye neema kwa wengi? au utawala wa chama tawala usianguke?