Kuna tatizo mwanamke akichelewa kuamka?

Shida ya wanawake wa sasa hivi wanautafuta usawa Kwa nguvu zote kitu ambacho ni kosa kubwa Sana

Pia kinachowasumbua wanawake wa sasa ni usasa , wengi wamesahau Mila na destuli zetu(japo zipo pia mbaya)

Sasa Kwa Hali ya kawaida mwanamke anatakiwa kuwai kuamka kulingana na majukumu yake ya nyumbani, mfano kupika na kufanya usafi nyumbani na huu ndio utaratibu wa kiafrika

Ila kuna vitu vinavyo athiri hili Jambo vitu hivyo ni kama

1.ulinganifu, hapa mwanamke analinganisha kama mwanaume anachelewa kuamka Kwa nn na Mimi nisichelewe

2. Wada wa kazi, hapa ndo kwenye balaa unakuta mwanamke amemwachia majukumu yote mdada wa kazi sasa yeye anaamka mapema akafanye nini

3 kazi, siku hizi wanawake wengi wanafanya kazi hivyo nao ni binadamu wanachoka balaa hivyo wanachelewa kuamka Kwa lengo la kupumzika

Naomba kuwakilisha
 
Kama wewe ni mzungu sawa,lakini kama ni mswahili mwenzetu naona hapo kuna kitu hakipo sawa,na inawezekana shida imeanzia kwa wazazi wako kwahiyo sikulaumu sana...
 
Wapo ila siyo sawa hiyo! Mwenyezimungu hakutuumba ili mwanamke ndio aitunze familia! Ukiona hivyo ujue kuna udhaifu mkubwa kwa mwanamke
Kila lawama kwa mwanamke. Pole Mama yangu!
 
basi ukipata bahati ya kuoa takataka kama hii, utamu wa ndoa utauelewa.
 
Lahaulaaaaaa! 🤣🤣🤣🤣🤣

 
Sawa, kwa kuwa siku hizi mnafanya kazi amka muda unaotaka na yeye aamke muda anaotaka. Kama mkipata na mtoto mchanga nae aamke muda anaotaka.
Mtoto sawa lakin mtu mzima ati mwanamke aamke mapema halafu yeye abaki kitandani wakat wote wawili wanafanya kazi. Mi siwezi kuja kufanya uo ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…