Kuna tatizo mwanamke akichelewa kuamka?

Kuna tatizo mwanamke akichelewa kuamka?

kumbe bado kanasoma tena so ajabu n form two B
 
Kama wewe ni mzungu sawa,lakini kama ni mswahili mwenzetu naona hapo kuna kitu hakipo sawa,na inawezekana shida imeanzia kwa wazazi wako kwahiyo sikulaumu sana...
Shida haiko kwa wazazi au kwangu shida iko kwenu mnaamini vitu ambavo sio sawa
 
Siku hzi wanawake pia wanafanya kazi
Umesema umewasikia wa mama!!! Hapo nyumbani kama mama yako yupo kamueleze mama nimesikia ivi na ivi then mama atakuelewesha kwann uwamke mapema!!!! Kufanya kazi mwanamke ni sawa maisha ya sasa ivi mnasaidizana ila hiyo bado haikufanyi ulale sana.... Faida yakuamka mapema unakuwa active na mwili unausikia poa...!!!! Kulala sana ni ugonjwa na kutokuwa na majukumu" ndo sababu kuna mtu kakwambia subiri uzae maana heka heka za mtoto lazima uwamke mapema....!!!! Ivyo ni kawaida kwa mwanamke mwenye heshima na emefundshwa kuamka mapema nakuandaa familia yake kuanzia mume na watoto wako... Though haimanishi kidume ndo alale sana hapana nae anatakiwa aamke mapema akusaidie!!!! Kifupi kama mnapendana wote mtaamka mapema na kuna siku pia wewe mwanamke unakuwa umechoka men anaamka mapema nakuweka vitu sawa na ndo goodlife so ulazima upo sana wakuamka mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kama umeolewa na ni golikipa unamtegemea mumeo kwa kila kitu amka tu mapema mama ikibidi hata saa kumi kusudi usije ukaachika ukatimuliwa ukakosa kwa kwenda bure
kwani ukiwa na kazi ukiachika unakwenda kazini au??
 
Umesema umewasikia wa mama!!! Hapo nyumbani kama mama yako yupo kamueleze mama nimesikia ivi na ivi then mama atakuelewesha kwann uwamke mapema!!!! Kufanya kazi mwanamke ni sawa maisha ya sasa ivi mnasaidizana ila hiyo bado haikufanyi ulale sana.... Faida yakuamka mapema unakuwa active na mwili unausikia poa...!!!! Kulala sana ni ugonjwa na kutokuwa na majukumu" ndo sababu kuna mtu kakwambia subiri uzae maana heka heka za mtoto lazima uwamke mapema....!!!! Ivyo ni kawaida kwa mwanamke mwenye heshima na emefundshwa kuamka mapema nakuandaa familia yake kuanzia mume na watoto wako... Though haimanishi kidume ndo alale sana hapana nae anatakiwa aamke mapema akusaidie!!!! Kifupi kama mnapendana wote mtaamka mapema na kuna siku pia wewe mwanamke unakuwa umechoka men anaamka mapema nakuweka vitu sawa na ndo goodlife so ulazima upo sana wakuamka mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
Case closed [emoji1666]
 
Ukikua utafahamu umuhimu wa mwanamke kuamka mapema.
 
Mtoa uzi nilikuwa na mpango na ww ila waambie parents wako waludishe mbuz wng nimeghahl kuoana [emoji24][emoji24]
 
Sawa, kwa kuwa siku hizi mnafanya kazi amka muda unaotaka na yeye aamke muda anaotaka. Kama mkipata na mtoto mchanga nae aamke muda anaotaka.
[emoji3][emoji3][emoji3]we jamaa unamajibu
 
Back
Top Bottom