Kuna tatizo uongozi wa mwendokasi (BRT)

Kuna tatizo uongozi wa mwendokasi (BRT)

Mimi kinacho nikera ni wanavyokasa chenji, na abiria ndio unaanza kuulizwa chenji.[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849].utasimamaa weee kwenye mstari ukisubiri atokee abiria mwenye chenji na wewe ndio urudishiwe.
 
Angela Kairuki yupo yupo sijui ana mawazo gani? Maana hakuna mradi wa kisenge kama huu. Dakika 60 mpaka 120 hakuna gari kituoni. Meneja wa mradi wapo busy kuiba hela kupitia tiketi. Aliyevuruga ule mfumo wa kulipa kwa kadi ni mtu wa ajabu sana.
Kulipa kwa kadi kurudishwe
 
Wanaopanga route wana mentality ya hovyo sana, wanasema magari lazima yashone toka mwanzo wa route ili kufidia hasara inayotokana na nauli kuwa ndogo

750 ni ndogo?
 
Mwendokasi na heka heka zake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tanzania hii hakuna kitu kilichowahi kufanyika kwa ufanisi. Hata Uhuru ulitolewa kabla ya Krismaasi mwaka 1961.
 
Wahudumu wao wa kukata na kukagua tiketi wajeuri na wana kauli chafu kama hawalipwi wao wanawaona watu wote wana elimu sawa au chini yao na asikari daah wao yaani huduma finyu sanaa , kama hawatabadilika watafanya watu waamini hawalipwi chochote na zile ni kazi za kutumikishwa na kuzifanya kimabavu, wanafanyishwa kinguvu
 
Wangejenga miundombinu. Wakawaachia sekta binafsi iwe na mabasi ili mradi tu waseme aina ya mabasi yatayotumia mradi huo.
 
mradi wa hovyo kabisa
Mradi sio wa hovyo sema umewakuta wezi hawajali kutoa huduma bora kwa Wananchi fikiria wao walijenga makao makuu pale mtoni harafu mvua ikinyesha PM anavamia kushangaa bus zilizoingia maji huo mradi watangaze Tenda apewe mtu au Kampuni yenye uwezo utaona kitakachoendelea sio kama hayo madudu wanayofanya hapo...
 
Back
Top Bottom