jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Nauli imepanda kiasi gani tena, dah hawa watu!!
Ongeza tsh 100 kwenye nauli za awali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nauli imepanda kiasi gani tena, dah hawa watu!!
Kulipa kwa kadi kurudishweAngela Kairuki yupo yupo sijui ana mawazo gani? Maana hakuna mradi wa kisenge kama huu. Dakika 60 mpaka 120 hakuna gari kituoni. Meneja wa mradi wapo busy kuiba hela kupitia tiketi. Aliyevuruga ule mfumo wa kulipa kwa kadi ni mtu wa ajabu sana.
Na hapo kivukoni kunanuka shombo ya samaki aisee...pananuka mno
Wanaopanga route wana mentality ya hovyo sana, wanasema magari lazima yashone toka mwanzo wa route ili kufidia hasara inayotokana na nauli kuwa ndogo
Sote tunashangaa750 ni ndogo?
Mradi sio wa hovyo sema umewakuta wezi hawajali kutoa huduma bora kwa Wananchi fikiria wao walijenga makao makuu pale mtoni harafu mvua ikinyesha PM anavamia kushangaa bus zilizoingia maji huo mradi watangaze Tenda apewe mtu au Kampuni yenye uwezo utaona kitakachoendelea sio kama hayo madudu wanayofanya hapo...mradi wa hovyo kabisa